Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cases za Kenya ni mojamoja ila Vumbistan mmeweka huko rekodi Hadi mshaajulikana.
Kojoa ulale
Screenshot_20241031_084159_Chrome.jpg
 
South African prisons imejazwa na watanzania 😂😂🤣😂
Utahangaika sana mzee, the status of Tanzania in SA will never be the same as that of KENYANS!

Wewe endelea kulia tu......
Kule SA kuna mchi kama tano hivi wakishafika kule wao huwa ni watanzania ili wapate heshima, kuna wamalawi, wakishajia kiswahili Tu basi umalawi hawautaki tena, kuna wakenya wengi Tu wanajii bongoman kule, kuna waganda, kuna warundi....tena na hawa ndousiseme
 
Back
Top Bottom