Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ndo majina ya watu wanaopakana na rwanda
Natafuta maana ya kagame kwa kinyambo au kihaya
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
.
 
kenya hamna wezi?
Hakuna nchi isiyo na wezi ila Wakenya hatuna tabia ya kuexport wezi kwa nchi zengine. Yani we are behaved in foreign countries. We just work hard and not feel entitled. Sio nyinyi mtu amehamia UK, amepewa makao na chakula bure yet analalamika eti ajengewe nyumba na apewe chakula bora kuliko anachopewa. Alafu ikishindikana anakuwa mwizi ama drug dealer. 😂 😂
 
Bradhee, si umejipea kibarua. 😂😂
 
Mnashinda mkishare maneno ya wanasiasa wakati on ground South Africans wamechoka na nyinyi. 😂 😂 😂
Unavyodhani TZ hakuna wasouth wanaoishi,huyu ni super star wa south msikilize anachosema,SADC inawaumiza sana kunyan,napenda siku tupate rais kichaa atutoe eac kwa watu wenye wivu
 
Attachments

  • TikTok_7311989076280757509.mp4
    3.3 MB
Rwanda imepakana na kagera Kuna wahaya na wanyambo ila hakuna kagame bukoba na angekuwepo by birth hakuna kagame Tanzania. Naming ya watu bukoba inajulikana na hakuna maaana ya kagame kwa watu wa bukoba
Hapo mwanaume Mhaya anaweza akaoa mwanamke Mtutsi from across the border. Huyo mwanamke Mtutsi akaita mtoto wao jina la ukoo wao. To summarize it, jamii mbili zilizopakana over time huwa zinashare majina. Nyie Watanzania sijui huwa mnafikiria vipi.
 
Unavyodhani TZ hakuna wasouth wanaoishi,huyu ni super star wa south msikilize anachosema,SADC inawaumiza sana kunyan,napenda siku tupate rais kichaa atutoe eac kwa watu wenye wivu
Mbona unajitungia hadithi ukizichambua mwenyewe? 😂😂
 
Hapo mwanaume Mhaya anaweza akaoa mwanamke Mtutsi from across the border. Huyo mwanamke Mtutsi akaita mtoto wao jina la ukoo wao. To summarize it, jamii mbili zilizopakana over time huwa zinashare majina. Nyie Watanzania sijui huwa mnafikiria vipi.
Then jua kwa Tanzania haiwezekani mtoto anaitwa kwa kufuata jina la baba kwa tamaduni za wahaya. Kati kitu ambacho ni Moja ya sababu ya kuanza kufuatiliwa kuwa wewe sio mtanzania ni pamoja na naming na hakuna mtu anaweza fanya huo ujinga la sivyo utarudishwa kwenu tu
 
Sawa. 😂 🚮
 
Haya ndo majina ya watu wanaopakana na rwanda
Natafuta maana ya kagame kwa kinyambo au kihaya
1.Rugemarila - Anamaliza mwenyewe.
2.Byarugaba _ Yote kwa Mungu.
3.Tibaigana_ Watu hatulingani.
4.Tibaijuka_ Hawakumbuki.
5.Ruyemamu _ kujijari|
6.Mbatina_ kuogopa kufanya jambo/ Madhara.
7.Mshobozi _ kuchanganua mambo.|kuelewesha.
8.Rweyendera_ kujipenderea
9.Rwebugisa_(kujiongoza/kiongozi)
10.Mtaremwa_ Mshindi |ashindwagi /kutochoka
11.Komugisha_(kwa neema |baraka|zawadi)
12.Kokwija_( kuja/ujio)
13.Kalokora_(uokofu/okoa/saidia)
14.Kaijuka_(kumbuka/bila kusahau)
15.Bishanga_(ukomavu/ msimamo
16.Rweumbiza_( kujitetea)
17.Kokuabwa _(kupewa/kubarikiwa)
18.Karungi_(uzuri/mwonekano)
19.Kokushubila(Tumaini.)
20. Kokwenda.(kupenda/
21.Mtahaba (Mwongozaji) mwelekezaji/usikosee
22. Rwechungura (kujikomboa)
23.
.
Peleka Malalamiko South Africa, sisi hakuna vile tunaezakusaidia hapa😂😂
 
Hakuna nchi isiyo na wezi ila Wakenya hatuna tabia ya kuexport wezi kwa nchi zengine. Yani we are behaved in foreign countries. We just work hard and not feel entitled. Sio nyinyi mtu amehamia UK, amepewa makao na chakula bure yet analalamika eti ajengewe nyumba na apewe chakula bora kuliko anachopewa. Alafu ikishindikana anakuwa mwizi ama drug dealer. 😂 😂
Nakumbuka mipaka ya EA ilipofunguliwa kulikuwa kuna ujambazi sana wa kupora mabenki Arusha na Moshi mpaka siku polisi walipoamua ku-trail na ku-shoot a Suzuki with all its occupants apparent walikuwa wakina Mahina majambazi toka Nairobi on a mission to rob a bank!
 
User Submitted Meanings​

  1. name Kagame means "It's a Rwandan name mostly found in Tutsi ethic! Kagame meaning someone who doesn't trust his colleagues. Very careful person among others".
  2. In Uganda, the name Kagame means "Big headed, tough person"
  3. Bado natafuta watutsi Tanzania .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna nchi isiyo na wezi ila Wakenya hatuna tabia ya kuexport wezi kwa nchi zengine. Yani we are behaved in foreign countries. We just work hard and not feel entitled. Sio nyinyi mtu amehamia UK, amepewa makao na chakula bure yet analalamika eti ajengewe nyumba na apewe chakula bora kuliko anachopewa. Alafu ikishindikana anakuwa mwizi ama drug dealer. 😂 😂

View: https://x.com/ProudlyMsTee/status/1590409140647899136?t=bfFQoST_U0yLOGpiuUeTkQ&s=19 behave ya nyoko maku
 
Nakumbuka mipaka ya EA ilipofunguliwa kulikuwa kuna ujambazi sana wa kupora mabenki Arusha na Moshi mpaka siku polisi walipoamua ku-trail na ku-shoot a Suzuki with all its occupants apparent walikuwa wakina Mahina majambazi toka Nairobi on a mission to rob a bank!
Kipindi hicho ulikuwa huwez safir bukoba - dar usiku na hata mchana mpaka kwa escort, ikapigwa oparesheni Moja matata mpaka Leo huwez sikia hata ushuzi wa ujambazi
 
U.S Announces Two $1 Million Rewards for Information Leading to the Arrests of Two Kenyan Fugitives​

Press-Release-header.png

United States Announces Two $1 Million Rewards for Information Leading to the Arrests of Two Kenyan Fugitives Involved in Narcotics and Wildlife Trafficking

May 26, 2022, Nairobi, KENYA.
Today the United States announced rewards of up to $1 million each for information leading to the arrest and or conviction of two Kenyan fugitives, Badru Abdul Aziz Saleh and Abdi Hussein Ahmed.

The two fugitives are major violators of U.S. narcotics and wildlife trafficking laws and are wanted for their alleged involvement in an international organized criminal network that trafficked wildlife from Africa and sought to traffic illicit drugs to the United States.

The indictment against Badru Abdul Aziz Saleh and Abdi Hussein Ahmed alleges a conspiracy to smuggle at least 190 kilograms of rhinoceros horns and at least ten tons of elephant ivory valued at more than $7 million. In addition, the indictment alleges a conspiracy to distribute approximately 10 kilograms of heroin.

“Eradicating drug and wildlife trafficking are priorities of the Biden Administration. We are grateful for the continued partnership of the Government of Kenya to capture and arrest members of these criminal networks” said Eric W. Kneedler, Chargé d’Affaires a.i., Embassy of the United States of America, Nairobi.

The reward is offered by the United States (U.S. Department of State, U.S. Fish and Wildlife Service, and U.S. Drug Enforcement Administration) with the full support of the Kenyan National Police Service. The United States and Kenya will continue to collaborate to combat wildlife trafficking, drug trafficking, and any other transnational crime affecting both countries.

Individuals with information on the fugitive’s whereabouts are asked to contact the Fish and Wildlife Service at +1-844-FWS-TIPS or +1-844-397-8477 or email FWS_TIPS@fws.gov, or the Kenyan Directorate of Criminal Investigations Hotline at +254(0)800722203. Identities are kept strictly confidential.
 
Then jua kwa Tanzania haiwezekani mtoto anaitwa kwa kufuata jina la baba kwa tamaduni za wahaya. Kati kitu ambacho ni Moja ya sababu ya kuanza kufuatiliwa kuwa wewe sio mtanzania ni pamoja na naming na hakuna mtu anaweza fanya huo ujinga la sivyo utarudishwa kwenu tu
Unapoteza muda kubishana na wajuaji, wakionaga kwao vitu vinafanyika basi hudhani kote ni hivo.
Madhara ya kujifungia failed state.
 
Back
Top Bottom