Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda ukapinge huko South Africa, it’s all the news huko South Africa ati watanzania ni wajambazi😂😂
Hivi Kosugi hajui watu hupea watoto wao majina ya watu maarufu hata kama sio jina la ukoo wao? Leo hii kuna watu wangapi hapa Afrika wasio wajaluo na wanaitwa Obama? Kuna wangapi wasio wa Xhosa na wanaitwa Mandela?

Alafu pia Rwanda imepakana na Tanzania, it's obvious kuna kabila zilizo na watu on both sides of the border. Watanzania hawananga akili. 😂 😂 😂
 
You know we Kenyans are never entitled. We don't live our lives foolishly believing we freed country X, Y and Z or helped country ABC. That's why our people are very well behaved abroad. The one common thing between Nigerians and Tanzanians is they somehow believe SA owes them something for the supposed 'help' they gave them some 50 years ago so they go to SA and misbehave and expected to be treated like kings. I like the fact that South Africans are now calling them out and soon they won't be welcome there.

Masnitch wa afrika

View: https://vm.tiktok.com/ZMhQD4yFr/
 
Tanzania kuna hadi wenye wanaitwa Onyango, Kariuki etc. So Kagame isikushtue wewe drug dealer😂😂🤣😂
We mpuuzi Onyango ni wajaluo.
Tanzania kuna wajaluo kama kabila kabisa kama ilivyo Kenya.
Usifananishe na Kagame ambalo ni jina exceptional.
Sawa nikwambie unitafutie jina la MWAKIPESILE AU AMBINGILILE AU MWAMBUNDELA nje ya Tanzania kama utapata.
Kamwe huwezi kupata kwasababu hayo majina ni exceptional ni Tanzania pekee utayasikia kutoka kwa Nyakyusa.
 
Hivi Kosugi hajui watu hupea watoto wao majina ya watu maarufu hata kama sio jina la ukoo wao? Leo hii kuna watu wangapi hapa Afrika wasio wajaluo na wanaitwa Obama? Kuna wangapi wasio wa Xhosa na wanaitwa Mandela?

Alafu pia Rwanda imepakana na Tanzania, it's obvious kuna kabila zilizo na watu on both sides of the border. Watanzania hawananga akili. 😂 😂 😂
That’s a quack usisumbuane naye😂😂
 
Nimeshamjibu mwenzako kasome nilichomjibu halafu uone ulivyoongea upumbavu.
Yani hata unadiriki kufananisha ukubwa wa Obama na Kagame.
Ni MTANZANIA yupi anaependa Wanyarwanda na warundi!??
Embu ingia Tanzania uone jinsi tunavyowa underestimate hao warundi na wanyarwanda.
Halafu mbongo achukue jina la hao ampe mwanawe!??
Fala kweli wewe.
Hayo majina zoelefu tu hata ya Kadima hatuyatumii.
 
Kwa hivo unawajua Watanzania wote milioni 68 kwa majina ndio useme hakuna Mtanzania anayeitwa Kagame? 😂 😂 😂
Haya basi, umeshinda. Nenda South Africa ukapingane nao uwaambie yule ni Mnyarwanda. 😂😂
 
Wakati wao wanataka kufukuzwa in other people’s countries, Kenyans is being praised for their hardwork😂😂🤣.

Mkenya amekubali kufanya kazi za nyumba Arabic countries lakini asiue ndio apate pesa Kama mtanzania, heri aoshe choo kwa mwarabu lakini asiteke watoto wa watu kufanyia uchawi kama watanzania. Sifa ya watanzania ni mbaya sana😂😂.

View attachment 3139611
Vumbistan ingekuwa kwa hii list wangekuwa wanaishare humu daily. 😂😂
 
We mpuuzi Onyango ni wajaluo.
Tanzania kuna wajaluo kama kabila kabisa kama ilivyo Kenya.
Usifananishe na Kagame ambalo ni jina exceptional.
Sawa nikwambie unitafutie jina la MWAKIPESILE AU AMBINGILILE AU MWAMBUNDELA nje ya Tanzania kama utapata.
Kamwe huwezi kupata kwasababu hayo majina ni exceptional ni Tanzania pekee utayasikia kutoka kwa Nyakyusa.
Potezea hizo taka taka,wamekuja na hoja ya kipuuzi tofauti na maantiki ya jukwaa,kwao kunaongoza kwa uhalifu than TZ,battle imewashindwa hii wanadandia mada zozote zile
 
Vumbistan ingekuwa kwa hii list wangekuwa wanaishare humu daily. 😂😂
Hawa ni omba omba kule USA😂😂🤣😂.

Yani mtu anafanya kazi ya omba omba barabarani lakini anathema yule anayeosha choo to get clean money😂😂
 
Hivi Kosugi hajui watu hupea watoto wao majina ya watu maarufu hata kama sio jina la ukoo wao? Leo hii kuna watu wangapi hapa Afrika wasio wajaluo na wanaitwa Obama? Kuna wangapi wasio wa Xhosa na wanaitwa Mandela?

Alafu pia Rwanda imepakana na Tanzania, it's obvious kuna kabila zilizo na watu on both sides of the border. Watanzania hawananga akili. 😂 😂 😂
Rwanda imepakana na kagera Kuna wahaya na wanyambo ila hakuna kagame bukoba na angekuwepo by birth hakuna kagame Tanzania. Naming ya watu bukoba inajulikana na hakuna maaana ya kagame kwa watu wa bukoba
 
Nimeshamjibu mwenzako kasome nilichomjibu halafu uone ulivyoongea upumbavu.
Yani hata unadiriki kufananisha ukubwa wa Obama na Kagame.
Ni MTANZANIA yupi anaependa Wanyarwanda na warundi!??
Embu ingia Tanzania uone jinsi tunavyowa underestimate hao warundi na wanyarwanda.
Halafu mbongo achukue jina la hao ampe mwanawe!??
Fala kweli wewe.
Hayo majina zoelefu tu hata ya Kadima hatuyatumii.
Kwanza Moja ya kigezo Cha kuwa wewe SI mtanzania ni naming ya majina eti kagame 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom