ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,373
Tuendelee tu na huu mtori nyama tutazikuta chini ππMie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi Nakujisifu
Ajabu Anaposti Basi lipo Sehemu Chafu mtaani Sion Akipost yakiwa Stand kama Huku
Inamaana Wao wanapandia Basi Hovyo hovyo bila Ya Utaratibu
Ndo maana nakuambia huyo mwenzenu anajiita mkongo hawez kuandika hata kilingala au kifaransa . Kiswahili Cha kongo kinajulikana that is typical Kenyan , using Congolese and Rwandan flags .Kamuulize huyo dada. Ni yeye aliyetoa list. Hasira zako mpelekee. Usiletee Wakenya. π π
Iwe chumvi ama sukari ukweli ni kwamba kuna ombaomba wenu wengi Nairobi, Nakuru na Mombasa na sasa tunaambiwa kuwa Afrika Kusini pia mpo. Mkiongea humu mnajipiga vifua jinsi mnavyoheshimiwa huko nje na Wakenya kuchukiwa kumbe ni Wakenya wanaoheshimiwa nyie mkidharauliwa. π πUnajua maana ya 'kujazana' au umeamua tu kutia chumvi?π
Kila nikitafuta video za hao wabongo wakiomba sizionUnajua maana ya 'kujazana' au umeamua tu kutia chumvi?π
Post video zenye accent za kibongo. Acha manenoIwe chumvi ama sukari ukweli ni kwamba kuna ombaomba wenu wengi Nairobi, Nakuru na Mombasa na sasa tunaambiwa kuwa Afrika Kusini pia mpo. Mkiongea humu mnajipiga vifua jinsi mnavyoheshimiwa huko nje na Wakenya kuchukiwa kumbe ni Wakenya wanaoheshimiwa nyie mkidharauliwa. π π
Broo....Mkenya akitaka kuisema Vumbistan vibaya hana haja ya kujificha kuwa raia wa nchi nyengine. Infact atataka ajulikane ni Mkenya. Hakuna Mkenya anaiyeiogopa Vumbistan. Take your L broo. Hizi nguvu unaweza zitumia kuwatoa wenzako S.A.ππNdo maana nakuambia huyo mwenzenu anajiita mkongo hawez kuandika hata kilingala au kifaransa . Kiswahili Cha kongo kinajulikana that is typical Kenyan , using Congolese and Rwandan flags .
Ndio hawaπππKila nikitafuta video za hao wabongo wakiomba sizion
Wewe leta prove sio maneno kuwa Kuna watanzania wanaomba Kenya na kama wapo basi nyinyi ni wapumbavu, kwani mridhike na uwepo wa undocumented foreigners ?Broo....Mkenya akitaka kuisema Vumbistan vibaya hana haja ya kujificha kuwa raia wa nchi nyengine. Infact atataka ajulikane ni Mkenya. Take your L broo. Hizi nguvu unaweza zitumia kuwatoa wenzako S.A.ππ
Lete ushahidi wa hao 'wengi'ππIwe chumvi ama sukari ukweli ni kwamba kuna ombaomba wenu wengi Nairobi, Nakuru na Mombasa...
Hao ndio 'wengi'. Unajua maana ya 'wengi'?
South Africans wanajua kiswahili siku hiz? Nan asiyejua tabia za wakenya. Mna roho mbaya sana. Mnabaguana nyinyi kwa nyinyi sasa mnasambazs hate zenu kwa nchi nyingineNyinyi hata Radi ikipiga iue watu Tanzania mnaweza sema mungu ni Mkenya. π π
Kubalini dunia nzima inawajua.
Enda ulilie South Africa. Wao ndio wameona Tanzanian homeless people kwa streets zao. Tukiwaambia mnatuita haters. Wacha muambiwe na wengine.ππ
Hii statement alioandika βnyie mko hardworking/focusedβ says it all kwamba huyo dada ni nyangβau. Unganishaa hii/code mixing hii ya kiswahili na kizungu ni ya kikenya.Nilete mkongomani ambaye anaweza andika kiswahili hivi. And huu ni mwandiko wa mkenya hata upangaji wa maneno " unafikiri natokea sauza" completely Kenya accent
View attachment 3139059
πππππππMie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi Nakujisifu
Ajabu Anaposti Basi lipo Sehemu Chafu mtaani Sion Akipost yakiwa Stand kama Huku
Inamaana Wao wanapandia Basi Hovyo hovyo bila Ya Utaratibu
Hivi huwa mnataka proof inakaa aje? Do you want it delivered by Angel Gabriel himslef ndio mkubali? π πWewe leta prove sio maneno kuwa Kuna watanzania wanaomba Kenya na kama wapo basi nyinyi ni wapumbavu, kwani mridhike na uwepo wa undocumented foreigners ?
Maneno bila video au sauti ni uvumi
Umeniandika kazi? π πLete ushahidi wa hao 'wengi'ππ
Shida yenu mnakuwanga watu emotional sana. Kitu kidogo tu mtatoa uchungu wote mliojaza nyoyoni mwenu. π πSouth Africans wanajua kiswahili siku hiz? Nan asiyejua tabia za wakenya. Mna roho mbaya sana. Mnabaguana nyinyi kwa nyinyi sasa mnasambazs hate zenu kwa nchi nyingine
Nyinyi si mlikuwa mnasaport apartheid government kipindi kile au mnasahau? Now ndo mmekuwa marafiki wa wasouth sio. Watu wa hovyo kweli.
Mbona serikali yenu inakubali watu wenu wawe trafficked? Halafu huwezi pata mtu aliye na maisha mazuri akiwa trafficked. Itakuwaje ni Watanzania pekee wanaokuwa trafficked? Mbona hakuna Wakenya ombaomba Bongolala au Afrika Kusini? π πKumbe illigal human trafficking ambayo serikali yenu imeshindwa kuidhibit ndo mnayoipigia kelele.
Mimi nilijua unatuletea watu wanaotoka Tanzania kwa kupenda na wakawa wanaomba bila kumpeleka mtu yoyote .
Human trafficking hata Kenya hiyo ni biashara ya watu wenu na forced labour
View attachment 3139082
Unataka kusafiri eti Hadi uweke booking ya wiki Moja kabla,mbaya zaidi unakuta viwanja vya ndani ATCL inaenda mara 3 badala ya Kila siku na Abiria wapo kama wote.Nakubaliana na wewe, zile q400 wanatakiwa waongeze kama sita halafu wajenge mini hubs mbeya, dodoma na mwanza, waweke hata mbili mbili tu halafu kuwe kuna direct flight kutoka miji hiyo kwemda miji mimgine direct, kwa mfano mwanza- mtwara, au mbeya- mwanza, dodoma-zanzibar na kadhalika.
Ili waweze kulitendea haki soko la domestic. Watu hela wanazo siku hizi za kupanda ndege.