Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi Nakujisifu
Ajabu Anaposti Basi lipo Sehemu Chafu mtaani Sion Akipost yakiwa Stand kama Huku
Inamaana Wao wanapandia Basi Hovyo hovyo bila Ya Utaratibu
Haka kanyang'au Teargas hata ukikapiga makwenzi hakawezi kukuonyesha basi likiwa limepaki stendi ya Nairobi. Ni aibu, ha ha ha😁
 
Master Fabricator has answered Banbros, nilijua hawangenyamaza.

Body built by Master for ENA, new kid on the block aka December babies.

1730207023450.jpeg

1730207045850.jpeg

1730207075200.jpeg

1730207142548.jpeg
 
I don’t care how many account you own. As long as you look for interactions huku JF after kushindwa kuzipata huko X clearly shows how foolish you.

By the way you can have even 1000 accounts and all of them will still have zero likes and repost in every post you make😂
Wewe ni mkenya mjinga kuliko Wakenya wengine. Account hii ilikuwa mahususi kwaajili ya Club Magufuli. In case kama unataka followers or engagements fungua account inayosifia Chadema na kuponda CCM or shabikia Simba ama Yanga.

"shabikia Simba ama Yanga." Wa South wengi, waghana wanajua hili na wameanza kufanya hayo kwa kasi sana.
 
Kama Unataka Wakenya wote Wapotee humu JF
Lete hiyo mada hapa
Hawataki hata Kuisikia Never
Hebufikiria
Hapa ni ndio makao makuu ya Mji wao Wanao Jisifia Kuna Kituko kama hiki
Na hapa walivyo Majuha Wakifika Wao wanajiona Wapo Ulaya
😂😂😂
Shida ya Mikunya Ni sifa na Kuamini wao wapo Mbaali kumbe hovyo


View attachment 3138098
Sisi tulishatoka huko miaka ya 80s doh wao bado wameganda tuu na miundombinu ya kizamani 🤣🤣🤣
 
Leta hiyo data hapa acha kuwa kama mtoto wa kike na mipasho.
Nenda ukaulize World Bank and IMF who said Tanzanian statistics looks fishy. Tanzania imezoea kupika data and it was good World Bank and IMF flagged you.
 
Why I would find them, wakati wewe ndio umeleta na matarumbeta.

Now, which data is cooked?
Find them because hao ndio walisema mnapika data. For me I have echoed their findings that Tanzania cooks their figures😂
 
Wewe ni mkenya mjinga kuliko Wakenya wengine. Account hii ilikuwa mahususi kwaajili ya Club Magufuli. In case kama unataka followers or engagements fungua account inayosifia Chadema na kuponda CCM or shabikia Simba ama Yanga.

"shabikia Simba ama Yanga." Wa South wengi, waghana wanajua hili na wameanza kufanya hayo kwa kasi sana.
Sasa umekasirika because nimekuambia nobody is bothered with your posts on twitter?😂😂😂.

Basi fungua hiyo ya kusifu Yanga na Simba upate nazo engagements uache kutusumbua hapa na sharing of your own tweets hoping to get sympathy from us.
 
Back
Top Bottom