concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Wanajuaga yanatoka south kumbe iringa tu hapo.Wakunya hayo matufaa mnayokula huko msije mkadhani yanatoka sauzi bali ni iringa na mjumbe hapa
View: https://www.instagram.com/reel/C3jgeHhhfOH/?igsh=YXA1eDc5cDJpbTZx
How about Dangote cement?Bamburi is the biggest Cement company in East Africa thatβs why hao warabu wa Tanzania wanted to buy it lakini hakuwa na uwezo.
And thatβs Baringo where Moi came from!Bongo huwez tembea km 70 hujakutana na kituo Cha afya au zahanati, infact karibia Kila baada ya mbili au tatu Kuna either kituo Cha afya au zahanati
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1850611775957512440?t=g-g87mIm0eK2-Cw0Ai1JnA&s=19
Umeshinda kutafuta engagement unadhani huyo ni kama wewe? The part page has been there even before Elon Musk bought X. Because wameongelea something touching Tanzania lazima tu mngekasirika.Wewe ni mjinga sana. Tuoneshe sorce ya hii habari.
Hiyo account inatafuta engagements za kujipatia hela tu toka kwa Elon kwa kuwatumia wapumbavu kama nyie.
Kufundishwa Kiswahili ni SADC nzima.
Watanzania ni wapishi hodari, Yani it forced World Bank and IMF to shame them in broad daylight ndio wakashtuka. Lakini najua bado wanapiga data though kisirisiriπHizi habari zingekuwa za Kenya wangekuwa wamehifadhi hizi screenshots. Wangekuwa wanazirusha humu daily. πππ
There is a song we used to sing in Primary which goes like this;Hizi habari zingekuwa za Kenya wangekuwa wamehifadhi hizi screenshots. Wangekuwa wanazirusha humu daily. πππ
Msikilize vizuri msajili wa hazina kaelezea vizuri kwanini hawajaanzisha kiwanda kingine separately, ameelezea kila kituKama hivyo ndivyo, Serikali ilishindwa nini kufufua hicho kiwanda kilichokuwa kinakula hasara miaka yote? Kwa nini wasijenge kiwanda wao kama wao hao Serikali Hadi wawe wanakuwa kwenye mgongo wa wawekezaji?
Awali kiwanda kilikua cha serikali by 100 percent, baada ya kubinafsishwa serikali ilibaki na 25 percent, saivi serikali inawekeza kupitia msajili wa mashirika ya ummaWewe unaishi Dunia gani? Serikali si mwekezaji Bali Amsons!
Mkuu lengo kuu ni kutoa huduma kwa wasafiri sasa kama cheaper options ziko kwa SGR choice ya type of train na class ni non starter maana hata kwenye locomotive pulled SGR kuna business class which is still affordable.option cheaper zipo lakini kila mtanzania ana haki sawa, hata maskini anatamani kupanda mchongoko je bei iliowekwa inamtamanisha nayeye apande??
tajiri hata akiwekewa laki tatu kwake its ok sasa je yule maskini umemfirikia na yeye na yet its public transport na tumejisifu hapa kua tume cut fuel cost from 40% to 10% umeme
kuna jambo haliko sawa kama mutanielewa nn namaanisha
nahisi mkuu point yangu bado hujaielewa anyway tuachane na hii madaMkuu lengo kuu ni kutoa huduma kwa wasafiri sasa kama cheaper options ziko kwa SGR choice ya type of train na class ni non starter maana hata kwenye locomotive pulled SGR kuna business class which is still affordable.
Hapo ni kama unataka bei ya business class kwenye ndege ishuke ili kila mtu aweze ku afford tuwaamini TRC labda wamefanya market research na kuona hizo nauli ziko sawa na pia kama wako right kwa hizo nauli na treni ikajaa basi itasaidia kuendelea kutoza affordable fares kwa ile treni nyingine maana itakuwa ina complement cheaper train fares kwa walio wengi. Yani matajiri watakaokuwa wanapanda EMU watakuwa wanasaidia kufanya fare za treni nyingine ziwe chini na huduma iendelee bila vikwazo.
hata tanzania still mafuta yako juu pia hatuna haja ya kuwacheka wenzetu