Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000

Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Hio washafeli kabla hawajaanza. Mimi nilidhani 50k to Dodoma Naona ilisaundi fresh
Hizo seti 10 za EMU walizonunua watapanda wao viongozi tu wanaolipiwa nauli na serikali.
Narudia watapata hasara.

Ndo maana wako kimya kumbe. Hawatangazi popote nauli za mchongoko. Wanatangaza ratiba tu.

Hiv wadau hayo manauli makubwa kama Air Tanzania na EMU ni roho mbaya ya kutotaka watu watumie usafiri bora au ni nini?
Siku hiz hata Air Tanzania kwenda Bukoba inaweza zidi laki sita. Kuna kitu hakiko sawa
 
When I told these witches that Katarama Marcopolo buses were built in Kenya walinipinga, it’s now good the truth is coming out.


View: https://x.com/BusesNation/status/1850232735467536661
so marcopolo za china sio marcopolo?πŸ˜‚

tafuta katarama iliokua assembled kenya mm nifunge acc sasa hvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

kama mtu anauwezo wa kununua scania irizar i6s tano kwa mpigo unaona huyo ji mtu wa mchezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sixty percent of Nairobi's population lives in slums but that does not prevent the construction of the expressway. Do you get it, Mr. Nyang'au?😎😁
not sixty last time ilikua 70% wanaishi kwenye makazi ya nguruwe

na sasa hvi umaskini kwao umeongezeka mara dufu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…