Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Bado utapinga tu, I know Tanzanians usually doesn’t like something which is not praising them.Lete hiyo link
41%.
Bado utapinga tu, I know Tanzanians usually doesn’t like something which is not praising them.Lete hiyo link
Ndio maana nilikua na cheka kila akiweka nilikua nasubiria hizi.Commuter train yenyewe sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3135104View attachment 3135106
Hawa wakenya wana midomo mipana lkn on ground nchi yao imeoza, wasikusumbue mkuu.
Do you have computer rail service in Tanzania?Ndio maana nilikua na cheka kila akiweka nilikua nasubiria hizi.
We kila ukija kuropoka hapa as if ni kampuni zenu usidhani sisi tuna Ubongo wa Jellyfish.I didn’t say Marcopolo or Scania is a Kenyan brand. But we have been given the permission with the parent companies to built those buses. Ama ni nini huelewi hapo?
Google any video mtu anafanya vlog city or downtown ulete zikiwa zinapita hizo bus zako za kuvizia vizia.Utaonaje wakati wewe mwenyewe Unataka kuona hizo Fuso (which infact aren’t available)? First clear your mind of any bias then utaziona.
Kijana nimeomba link not screenshot weka linkBado utapinga tu, I know Tanzanians usually doesn’t like something which is not praising them.
41%.
View attachment 3135642
We must be proud cause they are built in Kenya. Ama ulitaka tulie? Ama huwa unaumia sana nikipost hizo Marcopolo na Scania buses built in Kenya? Pole sana Jelly fish😂😂We kila ukija kuropoka hapa as if ni kampuni zenu usidhani sisi tuna Ubongo wa Jellyfish.
Duh! Ndio swali gani kwani hujajibiwa?Do you have computer rail service in Tanzania?
41% of Tanzanians dwell in slums, let that sink in.Kijana nimeomba link not screenshot weka link
Yaani slums mpaka ina mpaka shirika la msaada
Non GamStop Casinos That Pay Fast - Best UK Casino Sites in 2026
We tested 10 non GamStop casinos in the UK to see which ones actually pay out quickly. Find out which sites are worth using in 2026.www.kibera.org.uk
Kila list za world top slums hukosi nchi hiyo unatupigia kelele weka link
Never talk about slums to us ni zenu hizo.
Amka utajikojolea
Sijajibiwa bado. Ebu tupatie jibu.Duh! Ndio swali gani kwani hujajibiwa?
That bus can buy 3 of those Chinese buses you have in Tanzania.Amka utajikojolea
Eti niumie, vyuma tunabeba kila Kona ya Dunia ndio niumie?We must be proud cause they are built in Kenya. Ama ulitaka tulie? Ama huwa unaumia sana nikipost hizo Marcopolo na Scania buses built in Kenya? Pole sana Jelly fish😂😂
Really?That bus can buy 3 of those Chinese buses you have in Tanzania.
Kuna watu wengi wafanya clogs za Dar na Nairobi and they are saying Dar looks like a village while Nairobi has a big city vibe.Google any video mtu anafanya vlog city or downtown ulete zikiwa zinapita hizo bus zako za kuvizia vizia.
Is this a Chinese bus?
Clogs? Hao wameingiaje umeombwa ulete link ya Downtown or CBD vlogs ikiwa na hizo Electric, Basi zako za kuvizia kijana.Kuna watu wengi wafanya clogs za Dar na Nairobi and they are saying Dar looks like a village while Nairobi has a big city vibe.