Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwale Stadium
View attachment 3130011
1729358741653-jpeg.3130009

View attachment 3130013
bati imeezekwa lile la nyumba na viti ni vile vya baa 😂😂😂 pitch ni ile kama ya high school.
 
Max speed ya 165km/h ni speed kubwa? Remember Kenyan trains have maximum speed ya 200km/h
Maximum speed kwa locomotive ni 160km/hr lakini hiyo ni emu power distribution Iko kwa mabehewa na hiyo ndo business class itakuwa royal class itakuwa Tsh 120,000, Economy 50,000 kwa sababu spidj itaongeza kidogo. Sikiliza hiyo video .
Treni za Kenya zikizid sana 101 hiyo hapo lazima abiria atafute headphone kuzuia masikio kwa sababu ya kelele na akifika atafute painkiller
 
Tanzanian trains maximum speed = 180km/h
Kenyan trains maximum speed = 200km/h
 
Back
Top Bottom