President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,718
- 94,411
Propaganza za kitoto za mwaka 1935. Jaribu tena π€£π€£π€£π€£
Mimi ndo nadhan uelewa unatia mashaka , Sasa hivi hakuna mkoa ambao haujaunganishwa na barabara kasoro baadhi tu maeneo na vipande, na lazima ujue mentality ya kujenga reli ni ipi tusingekuwa tunapishana hapa . Reli inajengwa ili kuweza kuongeza efficiency ya bandari ya dar na kama umefuatilia baada ya ujenzi reli kuanza Kuna viwanda lukuki vinajengwa hasa maeneo ya kwala au kando kando ya reli ili kuweza rahisisha usafirishaji wa mizigo. Pia huwez kusema uache kujenga reli wakati Kuna competitor wako anajenga reli kutaka kuteka wateja wako wanaotumia bandari , labda kama hujajua influence ya bandari katika ukuaji wa uchumi.Wewe ndio maana nakwambia nina mashaka na kuelewa wako.
Nakupa mfano mdogo tuu,kabla ya kuwekwa lami Kwa Barabara ya Tunduma-Sumbawanga,,ule Mkoa ulikuwa kama Kambi ya wakimbizi ila Leo hii Mji unakimbia.
Likewise Mpanda ,imekuwa na reli Toka uhuru ila baada ya Barabara Mji unakimbia ,the same to Kigoma nk nk
Ukiniukiza Barabara gani nakushangaa maana nimekupa Hadi ramani hapo inayoonesha rundo la mavumbi ,zote hizo Zinahitaji kuwa lami.
Unataka nikutajie Barabara Moja Moja au Mikoa inavyotakiwa kuunganishwa na lami? Tunahitaji Barabara kuliko kawaida ππ
View: https://x.com/Hakingowi/status/1847341463497298225?t=C-0Ksxz5YjvCx0AJfRv4WA&s=19
Una uhakika gani hicho choo ni SGR station? Vile vyoo vyenu vya JKIA Vp?I said it here that Tanzanian SGR is a project that was meant to fail.
Look at the toilets of their biggest and best stationπππππ
View attachment 3129050
Go argue with your fellow ancestors.Una uhakika gani hicho choo ni SGR station? Vile vyoo vyenu vya JKIA Vp?
Arguments za kjiuha na mahaba kwa Magufuli pita kule. Otherwise toa ushahidi wa kinachosemwa ni uongo!Najua upo kwenye kampeni.
Dont you see iko under repair?
Rubbish!Mnafanyaje mradi usiofika hata $2B kwa miaka 20??
Watu washachoka kutolewa kafara barabarani watu wapo tayari ata kusafiri wiki ijayo ilimradi apande treniWakundustan wanashangaa kila siku trains 3 with capacity of more than 6k zinatoka to and from Dom na Dar hapo bado za Morogoro na zote zipo full booked kama hii ni tarehe 20 lakini tayari kumejaa na bado buses zinazidi kununuliwa
View: https://x.com/PrinceDanielTz1/status/1846177687447982296?t=s7UyMfMlN3On3nJAGmnvlw&s=19
View attachment 3128862
Mikoa 15 ambayo unadai haijaunganishwa na lami ni Ipi ? Na in what sense.?Hiyo road imejengwa section,huko Liwale ni mavumbi tupu yaani kiufupi sehemu yenye vumbi ni kubwa kuliko kwenye lami.
Wewe elewa kwamba Nchi inahitaji Barabara sio reli,3/4 ya network ni mavumbi.
Barabara Zina push maendeleo ya individuals Hadi Nchi na sio reli Wacha ubishi wa kipuuzi
Mama hajui hata hilo neno kipaumbele, mnamuwekea maneno kinywani . She is just there akienda na upepo wa miradi ya Jiwe. Leave her aloneNdio maana SSH ameweka kipaombele kwenye Barabara sio hayo ma reli yenu.
Barabara inatakiwa kutoboka kutoka Liwale Hadi Mahenge ambayo itarahisisha wasafiri wa kutoka Kanda ya kati,Ziwa kufika Mtwara.
Nchi inahitaji Barabara zaidi kuliko hizo reli,hizo blue line ni Barabara zinazotakiwa kufunguliwa ππView attachment 3128973
Sema wewe hater ndio hujui vipaombele vya SSH ndio maana unaongea ujinga wa miradi ya Jiwe,humu jf Kila siku Huwa mna post miradi ya Jiwe?Anaenda na upepo gani? Hii ni miradi ya Jiwe? ππMama hajui hata hilo neno kipaumbele, mnamuwekea maneno kinywani . She is just there akienda na upepo wa miradi ya Jiwe. Leave her alone
Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.Mikoa 15 ambayo unadai haijaunganishwa na lami ni Ipi ? Na in what sense.?
Kwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.ππ
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Simiyu
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
ππView attachment 3129385