Reli ina umuhimu wake na imeonesha umuhimu hadi kufikia sasa.Kama mlijua Barabara ni za muhimu Kwa nini mlitumian 10.7T kujenga reli km 722 na miundombinu yake?
Huu ndio ufala Sasa,hiyo pesa inatosha kujenga expreway Barabara zote kubwa hapa Tanzania
Shida uyu kizimkazi ana ufuatiliaji pesa zinazojenga kigongo busisi ambayo ni almost imeisha almost 700 billion na zile za bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo limeisha almost 7 trillion ziamishiwe kwenye kujenga express way ya 8 line from Dar to DodomaReli ina umuhimu wake na imeonesha umuhimu hadi kufikia sasa.
Usilete excuses hapa na serikali yako ya mama kizimkazi.
Kwahiyo wewe ulitaka isijengwe!?
Uchawa umemuharibu akili huyu.Shida uyu kizimkazi ana ufuatiliaji pesa zinazojenga kigongo busisi ambayo ni almost imeisha almost 700 billion na zile za bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo limeisha almost 7 trillion ziamishiwe kwenye kujenga express way ya 8 line from Dar to Dodoma
Kizimkazi Hana ufuatiliaji wa fedha hazinaShida uyu kizimkazi ana ufuatiliaji pesa zinazojenga kigongo busisi ambayo ni almost imeisha almost 700 billion na zile za bwawa la Mwalimu Nyerere ambalo limeisha almost 7 trillion ziamishiwe kwenye kujenga express way ya 8 line from Dar to Dodoma
Unawezaje kukaa na genius meza moja darasani arafu ukupata zero kwenye matokeo?Kizimkazi Hana ufuatiliaji wa fedha hazina
Subiria taarifa za hasara Kwa CAG,mwakani sio mbali.Reli ina umuhimu wake na imeonesha umuhimu hadi kufikia sasa.
Usilete excuses hapa na serikali yako ya mama kizimkazi.
Kwahiyo wewe ulitaka isijengwe!?
Unajielewa hata unachoongelea? Hiyo reli kuna cha muwekezaji? Treni zinalipishwa toll?Kama mlijua Barabara ni za muhimu Kwa nini mlitumian 10.7T kujenga reli km 722 na miundombinu yake?
Huu ndio ufala Sasa,hiyo pesa inatosha kujenga expreway Barabara zote kubwa hapa Tanzania
Mkuu issue sio kujenga reli au Barabara issue ni upigaji .. hii nchi ukiamuwa ukaondoa upigaji unawezajenga, reli, bandari, barabara tena za kisasa meli kama tuko seriously.Subiria taarifa za hasara Kwa CAG,mwakani sio mbali.
Mwisho umuhimu wa reli ni pale tuu ambapo basic infrastructures tayari ziko Kila Kona.
Mikoa 15 hazijaunganishwa na Barabara za Lami unasema reli Ina umuhimu? Umewahi sikia wapi watu wanataka Serikali iwajengee reli badala ya Barabara?
Reli ni muhimu uchumi ukisha mature na si vinginevyo,so walaumuni waliofanya maamuzi.
Alafu kuna huyo anadai eti tungeziweka hela ya Reli kwenye barabara wakati kuna miradi mingi ilikua inatimua kasi nje ya Reli na yoye ya Matrilioni.Magufuli aliamua tu siku moja akajenga Kimara mpaka Kibaha 19km, angekuwepo mpaka leo hio barabara ingekuwa ishafika Chalinze.
Wewe ndio hujielewi,hoja ni Mwekezaji amekataa kujitojeza mnataka ijengwe Kwa pesa za kawaida.Unajielewa hata unachoongelea? Hiyo reli kuna cha muwekezaji? Treni zinalipishwa toll?
Mbona kipindi tumewekeza kwenye reli miundombinu mingine ilikua inaenda fresh?
Kwani tulikua tunajenga reli tu?
Upigaji ni dhana , upigaji hapa Tanzania upo ila haufiki hata 30% ya pesa za Umma.Mkuu issue sio kujenga reli au Barabara issue ni upigaji .. hii nchi ukiamuwa ukaondoa upigaji unawezajenga, reli, bandari, barabara tena za kisasa meli kama tuko seriously.
Awamu hii wako busy na miradi inayoweza kuwapa shares.Alafu kuna huyo anadai eti tungeziweka hela ya Reli kwenye barabara wakati kuna miradi mingi ilikua inatimua kasi nje ya Reli na yoye ya Matrilioni.
Like seriously 30km wameshindwa eti mwekezaji? Mwendokasi imewashinda eti mwekezaji, Vivuko vimewashinda.
Ndio iwe barabara.
Just ona utofauti JK alishindwa Daraja la Kigamboni mpaka liwe na Toll wakati the longest bridge Kigogo Busis lipo free no toll.
Wewe ni mgeni? Huyo ni teargas wa Tz.Mkuu issue sio kujenga reli au Barabara issue ni upigaji .. hii nchi ukiamuwa ukaondoa upigaji unawezajenga, reli, bandari, barabara tena za kisasa meli kama tuko seriously.
Acha kupoteza muda wako huyo ni kichaa.Unajielewa hata unachoongelea? Hiyo reli kuna cha muwekezaji? Treni zinalipishwa toll?
Mbona kipindi tumewekeza kwenye reli miundombinu mingine ilikua inaenda fresh?
Kwani tulikua tunajenga reli tu?
Hiv kenya ( wanaojiita Giants of East Africa) walishawahi hata kusema wanauzia chakula nchi flani? Au wao ni kupokea tu misaada kutoka China na Russia
Wengi hawajui kinachoendelea na mara nyingi tunakimbilia kuwa Kuna upigaji bila hata kufanya comparison na wenzetu , wengi tunafanya comparison kipindi Cha magufuli kwamba alifanya mengi na kumshusha mama Samia kwamba kwa kipindi chake ni upigaji tu bila kuangalia yaliyofanyika ndani ya kipindi chake. Wabongo tunapenda uongozi wa kuumizana , mfano watu wakiona utumbuaji wa hadharan wanajua ndo kazi inafanyika kumbe underground watu wanajipigiq .Upigaji ni dhana , upigaji hapa Tanzania upo ila haufiki hata 30% ya pesa za Umma.
Shida ya Nchi hii ni poor strategic decion making
Vipaombele vya kipuuzi na
Ujenzi wa kutsoanya Rasilimali badala ya kuanza na chache kuzikamikisha Kwa wakati ndio zingine zifuate.
Yaan ukitaka jua umuhimu wa reli tafuta eneo lenye mizigo mingi kama songea mtwara uone tanroad wanavyohangaikaReli ina umuhimu wake na imeonesha umuhimu hadi kufikia sasa.
Usilete excuses hapa na serikali yako ya mama kizimkazi.
Kwahiyo wewe ulitaka isijengwe!?
kwani SGR imeanza kujenga Leo. SGR imeanza miaka mitano iliyopita ilikataza kujenga Kwa bwawa la Nyerere, kigongo busisi bridgeWewe ndio hujielewi,hoja ni Mwekezaji amekataa kujitojeza mnataka ijengwe Kwa pesa za kawaida.
Swali pesa zinatoka wapi ikiwa mnatumia 10.7T kujenga Sgr ya Dar-Makutopora km 722?
Hiyo pesa ingetosha kujenga expressway zote kubwa Tanzania na kuunganisha Mikoa 15 iliyosalia Kwa Barabara za Lami.
Acheni ufala