Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnapenda sana wawekezaji? Kisa nini?

$3bn haiwezi tengwa kufikisha njia 6 Morogoro na kujenga Six way lane outer rings roads kwenye mikoa yenye traffic kubwa ya magari kuingia na kutoka. Mbona JNHPP iliwezekana, Busis iliwezekana, ufufuaji wa ATCL uliwezekana, MAGUFULI CITY iliwezekana.

Ndio tushindwe hizo. Ikiwa mnakusanya sijui $2bn kwa mwezi why msitenge $100m kila mwezi kwenye kujenga Dar Moro Expressway.

Mbona Kimara Kibaha iliwezekana kabisa plus Mkandarasi ni wa Ndani Estim Construction? Mbona tukilipa pesa inazunguka hapa hapa, Mind you now wachina ni wengi hapa hawatakua na shida for Equipment Hire.

Priority, PPP ufala tu. PPP zifikiriwe nchi ikiwa na stability ya uchumi not now mtu aje na kamtaji mbuzi kuvuna kwenye rasmali za nchi za Matrilion.

Mambo ya sijui kusubiri wawekezaji JNHPP tusingekua nayo, Railway tungekua na Mtungi wa chang'aa, Umeme ungekua kero, Airports zingekua zimechakaa, Tungekua bado tunazunguka Kenya kuingia mara kutokea Arusha, EACOP ingeenda, Kuhamisha makao Dodoma zingekua story.

Tukitaka naendeleo ya Kweli yenye tija ishaonesha we Have to DO IT OURSELVES, HAKUNA MTU WA NJE (MWEKEZAJI) anaweza FANYA MAMBO MAKUBWA KWA NCHI unless hii NCHI INAJITAMBUA (LIKE WEST) Na KUJITAMBUA KUNAKUJA KWA KUONESHA UNAJIWEZA BILA MSAADA WOWOTE.
 
Siku moja nilipiga tungi hapo naipori hapo Simmers mpaka late sana nikajichanganya kupita hapo city market alooo karibu ni rirudishe change pachafu na pananuka eti CBD hiyo 😁
 
If you think Zambia has more malls than Kenya then you've clearly never been to both countries.

Alafu ni kawaida yenu kubash kitu ambacho hamna. Leo mnasema mall zinaharibu uchumi, kesho mall ikianza kujengwa kwenu Kila siku picha humu.
Kiuhalisia hakuna faida ya malls economically.
Sio kitu kinachowagusa rika lote la raia.
Ni kitu luxurious tu.
Kitu muhimu masoko ya bidhaa raia wapate bidhaa kwa affordable price.
Humo katika malls raia wa chini hawezi gusa pia hata raia wa juu ni wanatapanya pesa.
Ikijengwa sawa tutapost ila sio kushadadia kama wengine mnavyoshadadia.
 
Magufuli aliamua tu siku moja akajenga Kimara mpaka Kibaha 19km, angekuwepo mpaka leo hio barabara ingekuwa ishafika Chalinze.
 
Aisee nikisema hapa Afrika Tanzania ina wana diplomasia bora kuna mbuzi katoliki wanabisha.
Huyu mama katoa nondo ngumu sana.
Hasa aliposema "hatutawaliwi kikoloni akilini" aisee huyu mama nimempa maua yake.
Sisi Nyerere katika malezi alitukuza kifikra katika kujitegemea, kujiamini, uzalendo na identity yetu kama taifa hao wengine walikuzwa kama watumwa na expendables
 
Sawa. Umeshinda.🤣🤣🤣
 
Siku moja nilipiga tungi hapo naipori hapo Simmers mpaka late sana nikajichanganya kupita hapo city market alooo karibu ni rirudishe change pachafu na pananuka eti CBD hiyo 😁
Hapa bongo mtu unapiga tungi mpaka unasahau na huibiwi. Mambo ya kuibianq simu kwa kunyanganya yashapitwa na wakati. Sasa hivi Kila mtu Yuko busy kutafuta Hela. Mwakani utasikia
Tanzania kuongeza katika uzalishaji wa
1. Ufuta
2.mbaazi
3.dengu
4. Soya
Hayo ni mazao ambayo yanapigiwa chapuo Sasa kutokana na soko lake kutanuka. Kwa mwaka 2023/24 mkoa wa mtwara umeongeza uzalishaji wa ufuta kwa zaidi ya 50% ndani ya mwaka mmoja na matarajio kwa mwaka unatakao ishia 2024/2025 ni kuongeza zaid ya nusu ya mwaka uloishia
 
Malls unakuta imejengwa na mtu mmoja na anayefaidika ni yeye na wafanyakazi wake huku kwenye maduka unakuta Kuna maduka mengi na wanafaidika wengi sana.
 
Magufuli aliamua tu siku moja akajenga Kimara mpaka Kibaha 19km, angekuwepo mpaka leo hio barabara ingekuwa ishafika Chalinze.
Muda mwingine PPP inakuwa Bora kuliko kuweka Hela yako pamoja na ubora wa huduma unaongezeka.
Chukua mfano wa crdb na nmb kipindi zinamilikiwa na serikali kwa asilimia 100 zilivyokuwa zimedorora au chukua mfano wa ttcl Sasa hivi.
Kiujumla PPP inasaidia kuhamisha hasara kwenda kwa wawekezaji badala ya kujiingiza Moja kwa Moja.
Tuangalie Tanesco , mpaka Leo wanaripot hasara tu, lakini ni shirika ambalo likisimamiw vizuri linaweza ingiza Hela kuliko shirika lolote Tanzania.
 
Zambia 🤣 🤣 🤣 Enyewe we ni fala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…