Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A hero Rice farms in Kisumu county.

1728655600732.jpeg
 
Imebidii utafute picha za 2000 wakati wazungu waliwajengea drainage ndio uweze kujibu NairobiWalker. I wanted to say Moshi ni pachafu nikakumbuka hizi ni picha za 2000😂😂
Mbona unahamisha mada.? Hizo ni closed drainage na zipo hata kesho kutwa. Mwenzako Alidai sisi ni washamba na hatuna exposure kisa kaona closed drainage in kisumu. 😂😂😂 glad umesema mwenyew kwamba ni picha za 2000 huko so kimsingi yeye Ndio mpumbavu ku brag mambo za closed drainage since we have them tangu kitambo tu.
 
Now show me five roads in Moshi with Closed drainage. I’m waiting.
 
Where’s the city center kwene hii picha.? 😂😂😂 au ni village center ndio unazungumzia.?
The only place that can rival Kisumu huko Tanzania ni Dar Pekee. Let that sink into your tiny porous brain.
 
Hizi ni vitu kawaida Kenya. Wakati Kenya hizi events zinafanywa na single mothers, uko Vumbistan lazima tu mwanasiasa ndio afanye organization 😂😂
Umeshaambiwa event kama hii ilifanyika German na inashikilia Guinness world record ambapo zilishiriki gari 600+ while event hii ya Chuga zinashiriki gari 1000+ so we are gonna break German!s Guinness world record. Wewe unaleta stori za kitoto 😂😂😂😂 wewe kweli wanakudinya wewe.
 
Now show me five roads in Moshi with Closed drainage. I’m waiting.
Umepost picha ikiwa na closed drainage wao wenyewe wakasema haina drainage maanake hawajui closed drainage ni nini. After nimewaonesha drainage ndio anakuja na vipicha. Lack of exposure haimaanishi hazipo kwao (Ingawa kwa miji yao mostly ni open shallow drains), inamaanisha hazijui. Ni kama lile lile swali la Monorail Nigeria. Ushamueleza amekosea ndio anajifanya Sasa anajua.🤣🤣
 
Back
Top Bottom