Bongolalas hua munajifanya sukari sana, tunajua you also have very ugly and old buses but we just don't bother to post.Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Bongolalas hua munajifanya sukari sana, tunajua you also have very ugly and old buses but we just don't bother to post.Unalazimisha vitu ambavyo havipo.
Shoga atakuambia hiyo ni photoshop😂😂🤣Bongolalas hua munajifanya sukari sana, tunajua you also have very ugly and old buses but we just don't bother to post.
![]()
Hii ni picha ya mwaka gani.? 😂😂😂Bongolalas hua munajifanya sukari sana, tunajua you also have very ugly and old buses but we just don't bother to post.
![]()
Baboon Hiyo ni picha ya this month 😂😂Hii ni picha ya mwaka gani.? 😂😂😂
This month.Hii ni picha ya mwaka gani.? 😂😂😂
Kwani hizo chaka ziko Tanzania ama Burundi?😂😂🤣😂.Hizi ni gari za chaka to chaka sio gari za mkoa kwa mkoa 😂😂😂 hakuna gari ya mkoa kwa mkoa inayo operate mbovu kama hivyo
Gari za mkoa kwa mkoa hizi hapa 👇🏾 ukipata chuma inayonana na hiyo screeshot then utume.. hii ni alfajiri in Dar.Kwani hizo chaka ziko Tanzania ama Burundi?😂😂🤣😂.
Alafu Acha uongo hiyo ni gari ya mkoa kwa mkoa😂😂
Mbona hizo basi zenu hupata accident karibia kila siku? Au ni ju ni mchina. 🤣 🤣 🤣Hizi ni gari za chaka to chaka sio gari za mkoa kwa mkoa 😂😂😂 hakuna gari ya mkoa kwa mkoa inayo operate mbovu kama hivyo
Gari za mkoa kwa mkoa hizi hapa 👇🏾 ukipata chuma inayonana na hiyo screeshot then utume.. hii ni alfajiri in Dar.
View: https://youtu.be/UfMB2fWf8sk?si=qAdW8i8uF0uJw8_t.
Beautiful buses. Not boring like those higers and Yutongs.Kama kuhesabu sio evidence word ya fundi ndio hutamini?😂😂🤣😂.
Acha tuhesabu tena😂😂🤣naanza their latest purchase, of Emirata E3
1. Nico Williams
View attachment 3118724
View attachment 3118726
View attachment 3118736
2. Lemine Yamal.
View attachment 3118727
View attachment 3118728
View attachment 3118734
Hebu point hiyo gari mbovu from this picture I want to see it clearly 😂😂😂
Jamaa vile aliona hizo buses alinuna akaacha kucomment😂😂Beautiful buses. Not boring like those higers and Yutongs.
All of them ni mbovu😂😂🤣😂Hebu point hiyo gari mbovu from this picture I want to see it clearly 😂😂😂
Hizi ni gari za chaka to chaka usidhani wewe ndio umezigundua 😂😂😂 they are so many.All of them ni mbovu😂😂🤣😂
Another old bus from Vumbistan Picture taken March 2024😂🤣👇👇
View attachment 3119054
Kama ni chaka kwa chaka zinafanya nini kwa Bus terminal ya Magufuli? Ama hapo pia ni Chaka?😂😂🤣😂Hizi ni gari za chaka to chaka usidhani wewe ndio umezigundua 😂😂😂 they are so many.