President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Baada ya Group tunaingia Nusu fanali, mkifanikiwa kufika final tutakutana na nyie. Mtajua hamjui.Mkipatana na Kenya ama Uganda bahati inapotea.
Baada ya Group tunaingia Nusu fanali, mkifanikiwa kufika final tutakutana na nyie. Mtajua hamjui.Mkipatana na Kenya ama Uganda bahati inapotea.
Acha wajifariji mana bakora tunazowachapa sio za dunia hii 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅😂😂😂 eti facts.
Fleet za kampuni tano za mabasi zimeingingiza buses leo. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DA3kwKQqlEw/?igsh=MTR6bGtuc2xuNzA0aw==. Bongo watu wana mawe wewe. Teargas njoo ujifunze Bongo. 😂😂😂 mtafika hii stage miaka 1000 to come.
Tunawajua mngeaanza kulala mika. Tutakutana na nyie fanal. Bado mashindano yanaendelea. Kaeni mkao wa kula.After kuchapwa na watoto wa Kenya finally hao wazee wamepata wanyonge 😂😂
Isuzu Buses 🤣 🤣 🤣 🤣 Expensive busesHizi buses za Ksh9M ndio unatupigia nayo kelele?
Leo lazima ulale na viatuAfter kuchapwa na watoto wa Kenya finally hao wazee wamepata wanyonge 😂😂