Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona waekezaji wakubwa wa EV kama BYD hawakuji bongslum. Kenya is the leader in EV mobility in East Africa Region.

BYD launches top-selling EVs in Kenya with local Toyota dealer
 
BYD kawekeza kenya.? 😂😂😂 amka kutoka ndotoni, hapo kenya kunazo tu garage same na zile tulunazo huku bongo za ku assemble trucks na tour vans. Hakuna investment ya Brand ya gari yoyote hapo kenya. Kitulize. 😂😂😂
 
BYD wamefungua showroom ya kuuza magari Nairobi na bado wamepartner na Basigo na KVM kuproduce electric buses in Kenya. Bongolala wivu itakuua. 🤣 🤣 🤣
 
Teargas leo umepata somo au unashupaza shingo na kuleta ubishi wa kipumbavu?

Ndani ya Bus unapata Azam TV ukiwa na safari yako

Johanvia Express

1728417843995.png

BYD wamefungua showroom ya kuuza magari Nairobi na bado wamepartner na Basigo na KVM kuproduce electric buses in Kenya. Bongolala wivu itakuua. 🤣 🤣 🤣
Kutoka chinese ni cheap buses hadi kuwaonea wivu 😂😂😂😂. Nionyeshe hiyo BYD show room in kenya. 😂😂
 
Back
Top Bottom