President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,543
- 94,040
Mimi ninakupatia dawa itakayokufanya uondoe ujinga kwa kichwa chako.Akili za gays ndio kubwa?😂😂😂
BM COACH👇👇👇 Tupatie companies zenye online booking huko kundustan tucheke 🤣🤣🤣
BM Coach — Usafiri wa mabasi kati ya miji Tanzania tangu 1996
BM Coach inaendesha mabasi zaidi ya 100 katika njia za Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma, Moshi, Arusha na Turiani. Weka nafasi ya kiti katika mojawapo ya vituo vyetu 11.