Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa mnatumia hilo neno kujielimisha kiholelaholela hadi limekosa maana. Kama juzi nikapiga picha ya Barabara mbovu Moshi nikapost, Mvumbistan mwengine ananiambia eti nijielimishe eti Barabara hiyo ilishaapigwa lami. Yani mimi nipo hapo naona vumbi yeye ako Manzese ananiambia nijielimishe. Kitu kinaonekana wazi nijielimishe Nini bradhee?🤣🤣

Hii hapa Google image ya hilo eneo, 100% ushagoo, yet linahesabika as part of the 1500 sq. Km mnayoshinda mkitamba nayo humu alafu unaniambia nijielimishe. Kwa lipi?🤣🤣☺️
View attachment 3116210
Sawa
 
Uzuri mimi huwa naongea facts. Mimi siyo mkenya wakuleta mabumunda humu
View attachment 3116238

Wanadhani bado tupo enzi za Moi, hawajui kama tushawaacha mbali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Projects za kitoto. Kwa msaada wa wachina
Hawana mradi wa kuonesha zaidi ya huo maskini ya Mungu, hawa watu ni wapumbavu kweli kweli, yn mtu anaona kabisa Tanzania kuna viwanja vzr zaidi yao na bado Tanzania ina mradi wa uwanja mwengine ambao ni wakisasa zaidi East and central Africa na bado anapata nguvu ya kupost habari za uwanja mpya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hebu tueleze kwanini Kundustan mpaka mwaka 2024 wanapata msaa wa chakula? 🤣 🤣 🤣 🤣 Are you jobless?

View attachment 3116304

View attachment 3116307
Angalia hilo kochi kwanza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
1728154606445.jpeg
 
Ila huyu mzee alikuwa na chuki na Kenya aisee.🤣
Acha kujichekesha. Leta Credible sources msisahau huyo mlikua mnamtumia kuleta Shule Mbaya Tanzania nyingine wanachanganya majina.

Nikawaprove otherwise.

Leta Credible sources kuwa Magufuli alikua Nairobi Hospital?

Me nina CDF na Vice President (Kipindi anatangaza kifo chake).
 
Yani mimi naongelea CBD ya Nairobi kuwa katikati mwa jiji while CBD ya Dar ipo pembeni kuonyesha jinsi kupima distance from CBD sio accurate measure ya ukubwa wa haya majiji mawili, yeye ananiletea meaning ya initials CBD - kitu ambacho ukiuliza mtoto wa class 5 hapa Kenya atakujibu. Alafu anavyokazana kueleza anajiona smart sana. Kweli ngómbe ni ngómbe tu. 😂 😂
We mbuzi cbd is not subject to geographical location what matters is business activities not geography ndio nilitaka nikuelimishe hilo so argument yako ya kwamba hii moja iko central na nyingine iko pembeni is null and void.
 
We mbuzi cbd is not subject to geographical location what matters is business activities not geography ndio nilitaka nikuelimishe hilo so argument yako ya kwamba hii moja iko central na nyingine iko pembeni is null and void.
Hajui hivi literacy ya Kenya imesimama ngapi saa hii
 
Back
Top Bottom