ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,560
- 90,008
Kasarani jua kali Stadium, serious!!?? 🏟️Walete hata ya Nairobi tuu 😁
Wao ndege kubwa zote zinatua Jua kali International Airport lkn sisi huku kwetu zinatua kote kote, mfano hiyo Air France inatua Dar, Zanzibar na Kilimanjaro. Msifosi tufanane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kundustan mpo? Mnaona lakini? Ugueni pole Kwa maumivu 🤣🤣🤣👇😂
View: https://www.instagram.com/p/DArNUccNwnT/?igsh=MTlscGZwbDh4cXEzYw==
Guys tusiwe kama Gen-Z wa kenya. Kulaumu tu bila kujua details.Huko Tanroad nahisi kumejaa wazee wenye mawazo ya 90s, pale Tazara ilipaswa waweke underpass ili kuepuka changamoto zitakazotokea pale kwenye flyover ambazo zingeweza kutatuliwa mapema kama tungekuwa na watu wenye vision ya kweli.
Yaani zisijengwe kibera zijengwe pokoti?Apartments Kenya ni kitu cha kawaida sana. Huko kwenu ndio mnashangaa zikijengwa nje ya Dar. Huku hata vijijini utapata apartments kama hizi. 😂 😂
Wapanue passenger terminal ya KIA ,Abiria zaidi ya 1M ni wengi sanaWao ndege kubwa zote zinatua Jua kali International Airport lkn sisi huku kwetu zinatua kote kote, mfano hiyo Air France inatua Dar, Zanzibar na Kilimanjaro. Msifosi tufanane 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umeweka takataka gani hii?
What is Mbeya?Mbeya is far better than this tiny white farm 😆😆
Mbeya ,5th Largest in 🇹🇿👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_smRYjITQk/?igsh=MTA1bHE1aDI2cG04eA==View attachment 3113765
View attachment 3113766
Mbeya
Mafuso republic
Tena ile Nyerere wasingevunja hata baraza lolote. Space ilikuwepo hata kuweka njia nane na service road kubwa tu..utaskia 2028 wanavunja zile sidewalks na drainage channels eti wanapanua tena kama ambavyo wanafanya kimarahata barabara ya airport ilitkiwa iwe 8 lanes ila sijui wanafkiria nn, yani sijui washauri gani wanatoa haya mawazo
Mbeya GDP PPP ni 9,584USD wakati Nakuru ni 7,902USD. Upo na kingine cha kuongeza?
Sema nini Siasa za Tanzania zinakwamisha mambo mengi sana.Guys tusiwe kama Gen-Z wa kenya. Kulaumu tu bila kujua details.
TANROADS kuna projects nyingi sana zipo designed vizuri. But zikipelekwa kwaajili ya utekelezaji wanaambiwa wasubiri.
During Kikwete era kulikuwa na project ya express overpass kutoka mbezi beach kwenda posta. Haikuwa implemented imekuwa implemented Kenya.
Kuna daraja la kutoka Dar kwenda Zanzibar. Watu wa kutoa pesa na kujenga wapo, lakini Azam walikwamisha.
Mzee hapo TANROADS vipo vichwa mzee.
Tuache cheap lawama zisizo na details
Hiv hizo nguo huwa hazikauki? Kwa nini hawaweki madirisha? Kwa nini kuna open drainage systems? Kwa nini maghorofa hayapakwi rangi? Kwa nini matatu zinapark Barabarani?
KIA wangeacha ikawa International Flights tu, hapo pembeni tuna Arusha na Moshi Airports zote zimekuwa upgraded zinafaa kuhudumia domestic flights. Muhimu wapanue barabara yote ya Moshi Arusha to dual carriage ziwekwe Airport Limousines abiria wasafiri kwa haraka kuwahi flights. We need to prioritize our resources efficiently tuna mambo mengi bado ya kufanya.Wapanue passenger terminal ya KIA ,Abiria zaidi ya 1M ni wengi sana
Sasa hii si wangeplan zamani ikaenda sambamba na BRT 4 kama walivyofanya Kilwa Rd na Chang’ombe? So wanamaliza kujenga BRT alafu wanavunja tena kuongeza flyover? 🤷🏾♂️