Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui kitu. Na hapo ni wapi maana toka uweke Mboya hatuamini picha tena.

Wapi hapo?
What about Mboya? Mboya ndio mnyama Gani?
Mnaukataa mji wenu🀣🀣🀣
Anyway, I realized many Kenyans own businesses in Tanzania. This guesthouse here called Isiolo is owned by a Kenyan.
 
Kundustan Propaganda. Zikishukia Kenya zitaingia Tanzania bila kodi!?
Acheni cheap propaganda.
Hiyo ni page ya Tanzania na hao ni Watanzania wanaochangia. Sasa Wakenya tunaingilia wapi? Yani kwenu Kila kitu ni propaganda za Kenya. Siwezi shangaa unalaumu propaganda za Kenya kwa kukosa kazi.🀣🀣
 
Hiyo ni page ya Tanzania na hao ni Watanzania wanaochangia. Sasa Wakenya tunaingilia wapi? Yani kwenu Kila kitu ni propaganda za Kenya. Siwezi shangaa unalaumu propaganda za Kenya kwa kukosa kazi.🀣🀣
Any person can start page and name it Tanzania. Kwahiyo hao watanzani ni wafanyakazi wa bandari za Kenya?

Also Tanzania ipo na more than 500 bus companies.
 
Any person can start page and name it Tanzania. Kwahiyo hao watanzani ni wafanyakazi wa bandari za Kenya?

Also Tanzania ipo na more than 500 bus companies.
Sawa, pia wewe huna kazi kisa propaganda za Wakenya. πŸ˜‚
 
Uganda is always focusing about Northern Corridor and Mombasa.


View: https://x.com/UNRA_UG/status/1838976916100964864
watu wanataka SGR sio expressway mzee SGR kupeleka malaba imewatoa kamasi mpaka leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sahvi hamuna mradi hata mmoja mumeona mupost za uganda sasaπŸ˜‚πŸ˜‚

juzi mulikua munashangilia SGr inajengwa kwenda malaba ya iko wapi hio SGR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…