Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh! Ikiwa hiyo Moshi tu unaandika hivi I can't imagine ukifika Dar, kweli ile kauli ya kwamba Most kenyans mpo on propaganda na mnahold picture ya Tanzania ya Enzi za Kibaki ni True, eti Moshi Highest Standards of living.
Standards of living sio ukubwa wa mji na hii kauli sijaja nayo wakati huu. Ni jambo linalojulikana kwamba kilimanjaro province ina highest standards of living Tanzania. Tofautisha standards of living na infrastructural development. Mfano, hapa Kenya Nairobi ndiyo iliyo na highest GDP, highest GDP per capita na most infrastructural development ila haijawai kuwa top ikija kwa standards of living. Utakuwa mjinga kudhani Dar ndio ina highest standards of living hapo Bongolala. Na sio eti nimesema mpo juu, Yani Kilimanjaro ipo juu hapo bongolala tu. Hii hapa Moshi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…