Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiwa well connect logistics system watu uchagua. Tanzania logistics system zetu ziko vizuri, unachukua kutuma ndege, Barabara, reli au maji. Sisi route zetu zote ni efficient na ni cost effective, speed tofauti na nyie. And that is what we call development. Sio nyie. Barabara mbovu , reli mbovu, maji ndio shida uko.
 
Msa port kuwa mshindani wetu ni uzembe flan tu wa viongozi wetu,kijiografia ni aibu kwetu kwa rwanda na burundi kutumia msa port,now tumeamka naina burundi wameacha kabisa kutumia msa,rwanda na wenyewe kidogo kidogo naona wanaikimbia
Hakukuwa na investment yeyote kwa miaka zaidi ya 40. Walikuwa bize kununua silaha tu kwa ukombozi na pia barabara zilikuwa changamoto pia.
 
Ni upumbavu uliokujaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwasababu kimsingi hiyo barabara imezungukwa na gorofa zaidi ya 50 kutoka inapoanzia moroco hadi kufika mwenge. Many ni glass buildings.
Hasira ya ghorofa tano hii. 🀣 🀣 🀣
 
Mapandikizi bado yapo aisee,serikali inabidi iwe makini mno kuna watanzania sio wazalendo kabisa,sijui kama meli msc sasa hivi kama zimeanza kuja TZ maana nakumbuka kuna kiongozi m1 aliongoza znz ana meli yake ndogo ya container,halafu kuna mtaliano m1 hivi nae alikua na meli yake ndogo ya container,so walichokifanya ili meli zao zipate kazi wakasabotage msc ziishie msa na beira halafu hivyo vimeli vyao vikachukue container za kuja TZ,pia hapo bandari kuna watu walisabotage ya kuwa kuna kina kidogo cha draft so meli kuanzia 15 m draft azipitia pale ferry na so meli za kina kikubwa zilikua zinaishia msa na mizigo ya TZ na ikiwa kama ni kweli dar kina ni kidogo mtwara port ina kina cha kuingiza meli hata yenye 25 m draft,wa TZ baadhi yetu hatuna uzalendo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…