Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa EA ili kufanikiwa ni kuondoa kodi kabisa kwa bidhaa za ndani maana naona hata hiyo AFTA ina vipengele vya documentation ambayo nayo bado ni red tape.
 
You are ignorant by the way. I see it.
 
Can you define the word LUCK. IN ENGLISH LANGUAGE.
 
Basi ni nini imempleka kwa Master? Remember hivo ndio mlisema ati investors wa Tanzania can’t buy Marcopolo from from Kenya. Now wanang’ang’ania zile zenye ziko AVAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
We kijana niwekee hata bus companies yenu yenye Marcopolo za AVA 10 toleo la 2024.

Huyo Tahmeeed tu hizi ruti za Bongo ameweka his best buses maana bila hizo hutoboi.

Kampuni zenyewe haziwezi mudu bus za kueleweka mnaenda kuzijochea malori alafu unatupigia kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…