Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ally Star kapelekwa Master Fabricator. Expect a new face soon from Master.

Ally Star wamechoka na mikebe ya Mchina anataka vitu original and durable kutoka kwa Master FabricatorπŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3109808
View attachment 3109809
mwendawazimu ww kapeleka ikafanye nn wakat ni bus la kichina 100% hebu niambie wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu tuambie Ally Star inafanya nini kwa Master Fabricator then.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3109846
hebu ww tuambie inafanya nn maana mm naona inapita barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

so hio picha inahusiana nn na unachokisema kondoo wewe

leta picha ikiwa ndani inaguswa hata tairi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwenye maneno 100 ya mkenya chukua moja tu na hilo moja jitahidi usitazame nyuma na kabla ya kulala hata hilo litafakari vzr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii Konza kila siku ipo hivyo hivyo, hakuna nchi hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
mradi una miaka 18 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
yani kama ni mtoto basi yuko form five sasa hvi hata kuvua chupi anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…