Mm nilishaacha ubishani wa hv, wanashindwa kujua kwamba hawa wasenge ukiwapiga huku wanarudisha mada ya zamani ili kupata unafuu, nimeona wameeudisha mada ya Magufuli wakati tuliimaliza zamani, wakataka kurudisha mada ya shule ambayo nayo tuliimaliza zamani, wakenya hawana jipya, sisi tuna mengi mapya ya kuonesha wao wamebaki na yale yale ya 2017 sisi tunawapiga kwenye electric train, mara BRT, mara marcopolo G7, mara new airports, mara JNHPP, mara EACOP, mara Busisi bridge, mara Msimbazi basin, mara tourism, mara Simba na Yanga kufanya vzr kimataifa yn mambo mengi, lkn wao ndiyo kwanza wanarudi nyuma, kwnn wasirudie mada za kitambo. Utakuta mtu mpaka leo anapost Xpress way wakati sisi hata hiyo Tanzanite bridge tulishaacha kupost.