Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

COVID is like HIV, hazina tiba. Only management of underlying diseases.

Wewe ni Quack promax.
Ona ulivyo mpuuzi😂😂😂😂😂 nikikuita wewe zwazwa nakukosea!!??
HIV unatibu underlying diseases unapona!??
Corona na HIV toka lini vikawa sawa!?
Pia nilipokuambia unatibu symptoms zake ulikua hujaelewa!?
Kuna magonjwa huwezi ukayatibu moja kwa moja bali unazitibu dalili zake mwisho zikiondoka na ugonjwa unaondoka mathalan ni corona.
Sasa Magufuli afuate nini Kenya kama Kenya ndio mnaongoza kwa vifo na maambukizi ya corona wakati ule!??
Pia Magufuli amefariki kwa matatizo ya moyo sio Corona.
Ukimuona mtu anazunguka zunguka kama wewe hatoi jibu limenyooka basi HANA ANALOJUA ni mzugaji mzugaji tu.
 
Another one From AVA.😂😂😂

1727430789107.jpeg
 
Kwa hiyo unataka tuwaamini na hearsay zenu? Raisi wenu hakusema amefia Kenya wakati wa msiba, waziri wa afya kimya, mganga mkuu wa Serikali kimya, Hospital yenyewe kimya. Ila nyie otorong'ong'o ndio tuwaamini mbele ya Mkuu wa majeshi aliyeipitisha nchi kipindi kigumu salama?



Na kumbuka Magufuli alikua hana uhusiano mzuri na nyie (Kuchoma vifaranga, kuzuia raw materials kuingia badala yake muuziwe unga, kuwapoach EACOP, kuwatibulia COW).



Utakua kichaa bila shaka kuamini huo upuuzi.



Mnafahamu siku chache kabla alikua Ubungo, na kuapisha viongozi?
Kunyan wanaendeshwa na source from kibera,baada ya kunywa chang'aa uwa wanajizushia tu
 
Unadhibitisha wewe ndiyo dr wa Nairobi hospital hata aibu hamna katika kipindi cha uhai wake aliwahi kufanya ziara Kenya kweli nikumbushe kama nimesahau
Magufuli was brought in Kenya for treatment.
 
You are always a Quack. Yani hadi tofauti ya management and treatment hujui?😂😂🤣😂.
Ona sasa yani unavyozidi kuongea ndivyo unavyozidi kuonesha wewe mjinga.
Management ya mgonjwa ama ugonjwa epidemiologically!??
Kama patient management basi management is part of treatment of the acquired disease.
Labda kama unazungumzia epidemiological management.
 
Back
Top Bottom