Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila cha ajabu ukiienda Mathare, Kibera, Korongocho, etc utakuta Matajiri wa kikenya wapo kwenye mansion wamepaki Land cruiser na Mobius za kutosha.

Ukienda Northern Kenya wapo wanakula Buffet mwanzo mwisho, ukienda coastal Lamu ipo na Scannia Buses za kutosha Makopolo from AVA.

Ukienda west mambo safi kabisa kuna kila mtu anakaa juu ya Cadillac, Lamborghini (Probox story za Jaba).

Tutolee nonsense Virtual Riches
Tanzanians are still more poorer than Kenyans. That’s why Kenya is not in that list😂😂
 
Unaposema who said Magufuli died in Kenya? Hua unaamaanisha nini hadi baadae ujitetee
Who said Magufuli died in Kenya? What we all know ni kwamba Magufuli was discharged from Nairobi hospital on a life support machine, he was half dead.😂😂
 
Kenya mna dawa ya Corona!??
Kama mlikua na dawa ya Corona kwanini mlikua mnaongoza kwa maambukizi na vifo hapa East Afrika!?
You are a Quack so I don’t expect you to know what was being treated in patients with COVID. You are always a quack.
 
You are a Quack so I don’t expect you to know what was being treated in patients with COVID. You are always a quack.
Huna hoja na kila mtu anajua kuwa wewe ni empty mind set.
Hakuwa kuwa na treatment ya corona virus mpuuzi wewe especially hapo Kenya.
Kama ingekuwepo msingekufa na mkajaa maambukizi kuliko yeyote hapa Afrika mashariki.
Kuizuia corona ilikua unatibu symptoms zake moja baada ya nyingine.
Zwazwa utabaki kuwa zwazwa tu
.
 
COVID is like HIV, hazina tiba. Only management of underlying diseases.

Wewe ni Quack promax.
 
Back
Top Bottom