ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,431
- 85,268
Mimi Nina akili nyingi ila vilaza hamuwezi nielewa.Wakati mwingine huwa una akili wakati mwingine zaita zauya
Bila kufanya hiyo project ,tutampoteza Zambia Kwa Mozambique Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port