Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Timeline of Magufuli's movements, according to the Daily Nation

February 27 : Last public sighting of President John Magufuli.

March 6: The date when then vice-president Suluhu later said Magufuli was taken ill.

Date not known: Magufuli's condition suddenly deteriorates after less than 24 hours at the Tanzanian hospital.

Decision is reportedly made to fly him to South Africa, which has better facilities but doctors advised there was not enough time and was flown to Kenya instead.

March 7- 8: Magufuli is flown to Kenya secretly by air ambulance and lands at Wilson Airport. The runway is closed to other planes.

On arrival at the Nairobi hospital, he is intubated, a procedure where tubes are i inserted in the lungs to aid breathing.

March 11: Maguflui is flown back to Tanzania and arrives at Mzena Hospital. He dies shortly afterwards, according to the Daily Nation.

March 12: Prime Minister Kassim Majaliwa says Magufuli is in Tanzania and "working hard as usual".

March 17: Tanzania's then vice president Samia Suluhu Hassan announces Magufuli's death due to heart disease.
Hizi blee bleee bleee mnazoleta acheni.
Uongo hauwasaidii kitu wakenya.
Magufuli alilazwa Mzena hospital Dar es salaam toka siku anaumwa hadi anafariki.
TAFUTENI UONGO MWINGINE WA KUDANGANYA.
 
Mtaficha na kulia sana lakini ukweli utabaki ule ule 🤣🤣 Magufuli alikua Nairobi hospital ICU
View attachment 3107191View attachment 3107192
Magufuli kafia Mzena.
Humu niliwahi kuleta ripoti ya BBC news juu ya kifo cha Magufuli ndio maana hii mada sasa hivi watu hawaipi attention.
Unaeishikilia ni wewe na wakenya wenzako baadhi wasiojielewa.
Kamwe hakuna Rais ataekuja kutibiwa Kenya ikiwemo Magufuli.
Punguzeni propaganda haziwasaidii kitu.
 
sasa wewe toka jana wanakula dozi unahisi watafanya nini. hapa kama vile hawapo wakiibuka watakuja na vipicha vya marcopolo bus assembled in kenya
 
huwa inapendeza walau kungekuwa na picha lakini haya mnayoyasema sasa hivi ni hearsay tu, ni kama mimi nikaamua kukuzushia kwamba nimekulala na nikatoa timeline ya movement zako. ukweli ambao unaweza aminika ni pale ambapo either kuna picha ya magufuli ya yeye kuwepo Nairobi hospital au receipt ya malipo kuhusiana na matibabu yake au udhibitisho wa mdomo wa mganga aliyehusika kumtibu. kama hakuna mnajipa umuhimu ambao hamna.
Kwasababu navyojua mimi kaka kuna taarifa za ugonjwa za kiongozi zinaweza kufichwa,ila akifariki itatangazwa tu ilikuaje na alifia wapi.
Picha linaanza wanakwambia Magufuli ni Corona sceptic.Ilhali alifariki kwa matatizo ya moyo na alikua na pacemaker.
 
hu

o ndo ukweli huu uvumi ulianza kitambo sana ila ndo hivyo hawana cha kuonesha sasa hivi GDP imeshuka toka 113.42 mwaka 2022 mpaka 107.44 mwaka 2023 na bado tutegemee itaendelea kushuka tu, hapa lazima wapaniki
 
Timeline of Magufuli's movements, according to the Daily Nation

February 27 : Last public sighting of President John Magufuli.

March 6: The date when then vice-president Suluhu later said Magufuli was taken ill.

Date not known: Magufuli's condition suddenly deteriorates after less than 24 hours at the Tanzanian hospital.

Decision is reportedly made to fly him to South Africa, which has better facilities but doctors advised there was not enough time and was flown to Kenya instead.

March 7- 8: Magufuli is flown to Kenya secretly by air ambulance and lands at Wilson Airport. The runway is closed to other planes.

On arrival at the Nairobi hospital, he is intubated, a procedure where tubes are i inserted in the lungs to aid breathing.

March 11: Maguflui is flown back to Tanzania and arrives at Mzena Hospital. He dies shortly afterwards, according to the Daily Nation.

March 12: Prime Minister Kassim Majaliwa says Magufuli is in Tanzania and "working hard as usual".

March 17: Tanzania's then vice president Samia Suluhu Hassan announces Magufuli's death due to heart disease.
Sasa according to this source alifia wapi?
 
Kume
Watakaa wakati kwao kumekucha bila Mafuta? 😆😆😆😆👇👇

View: https://x.com/Kenyans/status/1839192260203680011?t=gPM4ST9_p_6vd8bFDDmUJg&s=19

Na wasije wakakuongopea hapo ni Jua kali International Airport (JKIA), huo ni uwanja wa O.R Tambo South Africa, na picha ni ya kitambo sn, 2003. Nimeona gazeti lao limeshaongopa tayari wameandika eti hapo ni Jua kali International Airport (JKIA). Hawa jamaa ni mbwa sana.
Screenshot_20240926-144306~2.png

Screenshot_20240926-144844~2.png

Yaani sijui uongo unawasaidia nn mbwa hawa, wanaishi fake life sn.
 
Hizi blee bleee bleee mnazoleta acheni.
Uongo hauwasaidii kitu wakenya.
Magufuli alilazwa Mzena hospital Dar es salaam toka siku anaumwa hadi anafariki.
TAFUTENI UONGO MWINGINE WA KUDANGANYA.
Screenshot_20240926-085438_Chrome.jpg

Magufuli was in Nairrobi Hospital before he died in Mzena hospital
 
Magufuli kafia Mzena.
Humu niliwahi kuleta ripoti ya BBC news juu ya kifo cha Magufuli ndio maana hii mada sasa hivi watu hawaipi attention.
Unaeishikilia ni wewe na wakenya wenzako baadhi wasiojielewa.
Kamwe hakuna Rais ataekuja kutibiwa Kenya ikiwemo Magufuli.
Punguzeni propaganda haziwasaidii kitu.
Magufuli alitibiwa Nairobi hospital kabla ya kifo chake ama hakutibiwa?
Screenshot_20240926-085438_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom