Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu mbona hii BRT Nigeria imekaa jua kali namna hii? Mauchafu barabarani kama kenya, yn Africa bhn hata waweke nn lazima uafrika uonekane, sisi watanzania tumshukuru sn Mungu aisee, tukiweka world class infrastructure lazima ionekane hivyo hata miaka 10 ipite, ona hapa ni ulaya kabisa πŸ‘‡ πŸ‘‡
Wenzetu sasa picha ya upande upande 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Uhalisia πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kwa akili zako hapo unaweza kupata mzigo wa kilo 100+??
Hapo hata gram 100 hupati.
Unapoambiwa mchimbaji mdogo haimaanishi anachimba kwa style hiyo maana yake ni mchimbaji mwenye leseni ndogo.
Unamaliza nguvu na muda wako adhimu ku argue na mijitu inayotoka cursed country, hayo madini kwao hakuna atakueleza nn.
 
Hawa wakenya ni wasenge kweli kweli, hivi wanadhani hata wanaikaribia Tanzania kwa idadi ya Dollar millionaires? Hivi wanajua kule mererani au Geita kuna madoni wangapi wa kitanzania? Na hapo nmegusia migodi miwili tu sijagusa mamia ya migodi ambapo huko kote kuna maelfu ya madoni wa kitanzania, hawa watu wanaenda kuujua ukweli soon mana mpaka sasa hawaelewi hii nchi waliyokuwa wanadhani wanaiweza mbona inafanya mambo makubwa kwa wakati mmoja alafu tunaambiwa tunaiweza?
 
Hajui lolote kuhusu maisha yeye akiambiwa mfanyabiashara mdogo Kwa Kenya inabidi awe anafanyia kwenye slums zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…