Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bushman Zambia ilitufunga? Congo ilitufunga? Btw sisi tulishiriki, nyie mshahau na mwakani tunashiriki tena nyie hamuendi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tanzania is the only country in the history of AFCON with no single win. So why participate if you can't win games?
 
The concept of money doesn't exist in their brains.🀣
Mimi kitu wananishangaza nayo. Mtanzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kazi ya kushinda JF masaa ishirini na nne kuandika utumbo "made in Kenya"😎😎
As long as Niko na pesa kukuliko I don't care how long I spend on JF. Na kama inakuuma jinyonge ama uambie Moderator anitoeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Again kwani kusema made in Kenya ni mbaya? Ama ni vile hakuna mnachotengeneza in Vumbistan?
 
Wakenya wapo hovyo sana kwenye hesabu, no wonder wanafeli sn kwenye miradi, elimu yao ni kusomea masomo ya arts wawe wanasiasa waibe.
 
Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukijilinganisha na Mimi utakufa, wakati wewe umaskini inakumaliza Mimi nawachekesha hapa JF nilifanya investments. With a span of 4 days I have invested 60k. Najua wewe hata sparing 2k for investment huweziπŸ˜‚πŸ˜‚



As for matatu naipanda nikipenda, there's nothing good like having options. Wewe najua options zako ni miguu or mguu.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi kitu wananishangaza nayo. Manzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe Bushman huwezi kupinga ufukara wako, juzi tu hapa nilikuwa nakutesa mpaka unaenda ku download mipesa Google na ku claim ni zako, na ulikuwa hupendi kabisa ubishani wa pesa kwa kusema huwezi ku expose maisha yako humu, leo unacheza vicoba unapata visenti vya kukodi bedsitter eti una hela, everyone knows you here hata ufanyeje tunakujua history yako, umri mkubwa ulikuwa bado shule, pesa unatoa wapi wewe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Atasemaje ni spelling error wakat amerudia kuandika hvyo karibu mara tatu?🀣
Huyu jamaa akishashiba chapoo na maharagwe huwa ana shida sana.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nilikosea kwenye utaratibu wa kuandika.
Ila sio kwamba sijui hapana ila hapa ni JF tunaandika hatupo katika chumba cha mtihani.
Ila jina nililipatia.
Yeye sasa anayedai anajua hadi naming of bio nomenclature πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Watchman whatever I’m spending in a day huezifikia. Pesa yote unapata kwa mwezi can’t manage my weekly expenditures πŸ˜‚πŸ˜‚. Today I fueled 10kπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚

 
Hafanyi kazi ya kubeba mizigo kama wewe. Hawezi kosa dakika mbili za kujibu fala akimquote. Kumbuke mpo wengi humu na Mkenya akiandika kitu mnamquote kama watu kumi.
 
Mimi kitu wananishangaza nayo. Manzania akipost food ya 120 bob wanamsifu vile anakula maisha lakini mkenya akipost bill ya 10k, wanamkashifu ati ni mshamba na pia umaskini unamsumbua. So kati ya 120 bob na 10k nani maskini?πŸ˜‚πŸ˜‚
Umenikumbusha Smocha. 🀣 🀣
 
Yeye sasa anayedai anajua hadi naming of bio nomenclature πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Bio nomenclature ndio nini? Wewe hakuna unachojua. Just go back to biology classπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£

The word is Binomenclature which means two names. Bi (two) nomenclature (names). Wewe utabaki kuwa QuackπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…