Nitaamini nikiiona kwa macho yangu ikiwa barabarani.Za chini ni kwamba BRT inaleta hizi ππ Scania marcoplo G7, route ya mbagala!πΉπΏπΉπΏ
View attachment 3099904
Wewe ndio ulianzisha huo mjadalaππππ€£.Mimi sijui huo mjadala umetokea wapi bali I responded spontaneously
When you invest I. Government bonds when Ksh to dollar is 99 and then Ksh depreciate to 150 that means that your money will have increase by 51 shillings. Mbona hesabu kama hizo zinakuchanganya?πππ€£πHata hizo bonds mkuu ni shida pia. Mfano umeweka bond yako wakati ksh was 99 to a dollar na ksh ika depreciate to 150 to a dollar kama last time ilivyotokea wewe utapata faida gani hapo?
In money markets you have no control of your money and its safety you can loose hela maramoja.
hiyu bus zake kama sio singapore basi south africa mzee wala usijidanganye ππ
Leta evidence πππ€£hiyu bus zake kama sio singapore basi south africa mzee wala usijidanganye ππ
hii ndio kitu ya over 18 good yrs ππππ
prove ww imetoka kenya πππLeta evidence πππ€£
zimetoka kenya au sio Teargas πππZa chini ni kwamba BRT inaleta hizi ππ Scania marcoplo G7, route ya mbagala!πΉπΏπΉπΏ
View attachment 3099904
mpaka mbingu na vilivyomo vimekula makeup na eye shadowπππππ
eti zimetoka kenya utuambie mapemaππprove ww imetoka kenya πππ
siku hzi zinakuja kupitia dar portπππprove ww imetoka kenya πππ
Kujeni mseme hapa ni Dubai pia.View attachment 3099941
Msaidie kwanza kujibu ile gari iliyokua inashushwa kwenye ndege ilikua jkia au dubai?