ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,557
- 90,001
Atajuaje hana hata pikipiki. π€£Ambia huyo fukara that driving from Nairobi to Arusha is only 2 hrs drive.
Eeh unanikadiria, unakadiria mtu humjui ππππ mpumbavu kweli we jamaa.Atajuaje hana hata pikipiki. π€£
Utapanda matatu uende huko Arusha au.? ππAmbia huyo fukara that driving from Nairobi to Arusha is only 2 hrs drive.
Hata baiskeli hana πππAtajuaje hana hata pikipiki. π€£
Ntatumia baiskeli which i know you donβt have.Utapanda matatu uende huko Arusha au.? ππ
My first time to own baskeli nilikua chekechea (baby class), inawezekana unataja baskeli kwasababu umeiona Nairobi na ukubwa πππ no wonder ulipost zile viatu za matairi claiming watanzania hatuvijui na hakuna Bongo. ππNtatumia baiskeli which i know you donβt have.
Tangu amejifunza kupaka mafuta huyu nyang'au amekuwa akionyesha kiganja chake kila siku ili tukione ha ha ha.ππAkapaka na mafuta kabisa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Huko tumetoka kitambo ,saizi tuko huku ππ
Arusha Samia Stadium progressUnaumia ukiwa wapi? More of Talanta.
View attachment 3096818
View attachment 3096819
View attachment 3096825
Yutong lazima waweke kiwanda hapa kwakweli maana sio kwa Yutong hizi zinazoagizwa kila siku.Mikunya inashangaa na SGR inakua full booked week nzima na bado busses zinanunuliwa kama njugu na hayakosi abiria πππ
Msije tuu kulalamika Safaricom ikikosa mapato.our lazy neighbors will use these Antennasππ
View: https://x.com/ajtourville/status/1835317884924346438
Hivyo vitimu vya kupewa motisha ndogo ndogo wakishinda mechi utakuta professional player eti unapewa mche wa sabuni au a dozen of milk ndio utegemee wa perform vizuri π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Shida ni kwamba timu zao huwa hazifiki group stage, eti mkenya anasema kabisa Gor Mahia inaweza kuifunga Yanga π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Dah Tangawizi tena π€£π€£π€£Ni maskini wa kutupa wa kutupa huyo mbwa πππ anatumia sijui simu gani. Cheki mikono yake sasa ππΎView attachment 3097327wonderful enough he is claiming to have soft hands. ππππ vidole kama tangawizi.