Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Will never happen. Mark my word.
Mchina ameshajua the real giant of east Africa, haezi fanya makosa kwene hili.. unajua suala la mchina kufikiria kuweka assembling plant Tz ni matokeo ya ufanisi wa service center yake hapa bongo+ ununuzi wa gari ambao karibu kila wiki wabongo wanazinunua yutong kama nyanya gengeni. Usifikirie hii ni favor mzee. 😂😂😂

Yutong assembling plant in Tz means big business.
 
Then why did Golden dragon start assembling their buses in Kenya instead of Tanzania penye they have a lot of Customers?

Youtong will also come to Kenya and partner with Kenyan bus builders, just like Golden dragon and Kinglong😂😂🤣😂
 
The level Kenyan real estate has reached. Tanzania will never reach here.

1726299710597.jpeg
 
Investors look for human resource when deciding on where to put their money, sio feelings. That’s the reason they will put assembly plant in Kenya and not Tanzania.
Utateseka sana kijana.
The giant has awaken grab your glocks and run away. Huu mziki hamuuwezi kabisa.
 
Then why did Golden dragon start assembling their buses in Kenya instead of Tanzania penye they have a lot of Customers?

Youtong will also come to Kenya and partner with Kenyan bus builders, just like Golden dragon and Kinglong😂😂🤣😂
Kitu unatakiwa ujue ni kwamba hapo awali mlifanikiwa kutuzidi PR mkaiongopea dunia, kwasasa hizo deals mtasahau, makampuni yameshajua nani ni nani in East Africa..

Yutong wameliona hilo na tayari wameshatangaza interest ya kuwekeza😂😂😂😂 wewe endelea kulia.
 
Hata Golden Dragon walitangaza kuja Tanzania but ended up in Kenya hadi mkaanza kulia😂😂🤣
 
Back
Top Bottom