Achana na watu kama hawa, hawajui wanachokifanya. Mbona kuna success stories za wamarekani wengi tu hapa Tanzania, kuna wafanyabiashara kutoka kila kona ya dunia na wanapata mafanikio makubwa tu.
Huwezi kuja hapa na mentality yako ya superiority complex halafu uachwe tu. Tatizo la wengi kama hawa wakija huku na vidola 5000 vyao wanaona kama wamekuja kutusaidia. They are always talking about helping Africa, sijui food security wakati wao wenyewe wanajaa tu......
Achana nao hawa!
Vumbistan.
Alikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly 😂😂🤣
View: https://youtu.be/xMVWRLVxxI4?si=brOfwZEQb-jmtnod kuna huyu mzee AA yuko TZ anaishi fresh kuliko alivyokua kwao,huyu alikuja na pesa sio maneno kama hao youtubers
Ni vema tuzichukue hizo changamoto positive na kuzitatua...Mbona si tukiwa kwao mengi tu yanatukuta na hatuendi Youtube kulalamika?
Lwao ni worse, taasisi zao ni hovyo mno kwa wageni, inashangaza wanataka huku watretiwe sposho na miafrika mijinga inawapa vichwa.
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.Kuna AA wengi sana hapo TZ,kuna wengine wanakuja wakiwa hawana pesa halafu wanataka mteremko hasa hao youtubers,kuna AA waliokuja na pesa wengi wameyaweza maisha ya TZ na ni wengi mno hasa watu wazima,kuna mmoja namjua yuko arusha,pension yake anayolipwa na serikali ya marekani kwa mwezi inamfanya aishi maisha mazuri mno,hao uliowapost ni maskini halafu wana watoto7 hata huko south awatopaweza
Please answer the questionThe best SGR in East Africa ni ya Kenya then followed by Ethiopia. Reason being, they don't stall everyday.
million 1 na laki mbili labda ataweza nunua baiskeli ya umeme 😂😂😂Alikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly 😂😂🤣
Kunyaland tukiwaambia Dar ni kubwa hayaamini, hili eneo probably ndio wanaliona kwa mara ya kwanza meanwhile naislum yote wameiweka humu hakuna hata inch 1 wameiacha
View: https://vm.tiktok.com/ZMheYncJx/
Hamjui kuishi na wageni, walikuja wakati wa Covid baada ya kukaribishwa na Maghu. Leo hii wengi wamehamia Kenya, SA, Ghana na Nigeria. Bongolalas and your petty government have frustrated them. Kila uchao huko YouTube kumejaa complaints from African Americans on why bongoslum is full of sh*t.
Ndio maana CEOs wao wanatoa Kenya.This country is cursed walai😂😂🤣😂.
Kama sio BRT ni ndege na kama sio ndege ni SGR, kila corner ni shida tupu😂😂🤣
View: https://x.com/Sativa255/status/1831402209063378976
We jiulize nchi kama kenya inakaaje juu ya Tanzania, sio football nation, Afcon hawaendi klabu zao ziko hovyo, hawana viwanja vyenye ubora, ligi yao ni dhaifu, na mbaya zaidi wamekuwa wakifungiwa kila siku na FIFA lkn cha ajabu wapo juu ya Tanzania, tulilala sanaaa.Kwenye hii issue ya ranking sielewi kwa nini Tanzania haipandi juu, kila siku ni hapo hapo tu.
Yani yata Madagascar wako juu yetu, sijawahi sikia Madagascar kwenye AFCON, Sijawahi sikia timu hata moja ya Madagascar kwenye mashindano ya Caf. Yani hata sielewi huwa wanafanyaje.
Njoo ww na hiyo pesa uwe milionea,kuna kunyan wenzako wapo hapo TZ gardener kwa mshahara usd 80 kwa mwezi na wakija kunyaland matajiriAlikuja Tanzanuw na Ksh 60k akakuwa millionaire instantly 😂😂🤣