Ushazoea mabishano kojoa ukalale.Hukujua. Again hata paraphrasing hujuiπππ.
You ave just copied everything from Google from first letter to the full stop. Indeed wewe ni quackππ
Kwa body hiyo mnaivunjia heshima Scania.
Kwa hiyo hiyo ndio proof eeh? Are you that low?You were not yet born myemen View attachment 3090576
Quack πUshazoea mabishano kojoa ukalale.
This one in Soweto Kibera started last year.Seven eleven Kawe ππΎView attachment 3091820View attachment 3091821
You are a Quack πUshazoea mabishano kojoa ukalale.
Tukiachana na hizo Daladala kuwa chache kwa sababu stendi ilikuwa mpya ( route nyingi zilikuwa hazijaanza na isitoshe kuna makumbusho stendi sio lazima usubiri basi hapo...na mwisho kuna BRT phase 2 itaanza kwenda Mbagala this December)...hebu tuonyeshe stendi kama hio, safi, yenye dustbins na modern kama hio Nairobi nzima...ichoboy01 alifanya nitake kujua nini hufanyika huku Daislama. Hehehe hata huwezi songa.
View: https://x.com/Tupaclifee/status/1833183405858586969?t=cpvqSdHllaWfzwvSD3jbag&s=19
View: https://x.com/MfalmewaX/status/1833092929457401993?t=YBfBVPr3ySZUF3ZgVP2vsA&s=19
Hellow black man hizo ni changamoto ndogondogo zitatatuliwa utake usitake, na usisahau kwa East Africa ndiyo treni ya kwanza ya umeme, kwahiyo tupo katika kujifunza, mambo yatakaa sawa japo unaonekana kuumizwa sn na maendeleo ya Tanzania π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Disadvantages of buying refurbished trains π
View: https://x.com/PatricOleSosopi/status/1833252640534233156?s=19
Huyo mkulima hajui mambo ya siasa huyo, hajui kama imekwamishwa makusudiπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hiz ni propaganda mzee ..za kufanya watu waache kujadili msiba wa mzee aliyeuliwa
Saa nyingine unaacha mengine yakupite
Wanatapatapa lakini hakuna anayewashobokea tena; ha ha haππKundustan wanapambana kweli.
Kundudwellers Mnajieleza mno π π π