Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda kamuulize Mama Ngina akuambie ukweli. Kwanini Kundudwellers wanaitwa Nyang'au?
Screenshot_20240908-165243.jpg
 
Bus limesimamishwa Saa 12 jioni na gari mbili mbele landcruiser nyuma V8 nyeusi wakaingia watu wenye silaha Aina ya SMG, na gari imesimamishwa kibo tegeta, bus lenyewe ni tashrif wakaingia watu wawili wenye silaha wakampiga pingu na kumshusha chini wakamuingiza kwenye V8 nyeusi, wananchi kwenye bus walipoulizwa wakajibiwa haliwahusu, Kesho yake kauwawa mwili umetupwa ununio tena mwili umepigwa na kumwagiwa tindikali usoni na Huyo ni mjumbe WA sekretari Taifa WA chama pinzani

Hvi kwa maelezo haya bado unahitaji D mbili kuelewa mzee Baba 🙃🙃🙃🙃
Mzee hizi taarifa umezipata wapi? Gari la Tashirif plate no yake ni ipi? Hilo Gari jeusi aina ya V8 lilikuwa halina plate No? Mbona simple tu mzee.

Tutajua mengi wewe unatakiwa uvute subira.
 
Bus limesimamishwa Saa 12 jioni na gari mbili mbele landcruiser nyuma V8 nyeusi wakaingia watu wenye silaha Aina ya SMG, na gari imesimamishwa kibo tegeta, bus lenyewe ni tashrif wakaingia watu wawili wenye silaha wakampiga pingu na kumshusha chini wakamuingiza kwenye V8 nyeusi, wananchi kwenye bus walipoulizwa wakajibiwa haliwahusu, Kesho yake kauwawa mwili umetupwa ununio tena mwili umepigwa na kumwagiwa tindikali usoni na Huyo ni mjumbe WA sekretari Taifa WA chama pinzani

Hvi kwa maelezo haya bado unahitaji D mbili kuelewa mzee Baba 🙃🙃🙃🙃
Jikite kwenye hoja 👇

View: https://www.instagram.com/p/C_qeEhnNP5D/?igsh=MTM2aTFlaDg4Z2E4bg==
 
Ulaya yenyewe sasa 🤣 🤣 🤣 🤣
Haina BRT wala umeme wa uhakika, ulaya haina hata tram wala electrified railway 🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina approved stadium hata moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya haina uhakika wa kula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya ina ma slums mpaka ikulu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ulaya yenye raia wenye low life expectancy kuliko wote EA labda ulaya ya nyoko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tanzania ndiyo Ulaya as compared to your country kwasababu tumewapakata kwenye sector zote nilizotaja hapo juu, ugua polepole Mr. Red Eyes 👀 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Nimezunguka sana ulaya sijawahi kuona ulaya iliyozungukwa na slums,ulaya ya watu wanaoshindia mlo mmoja 😀
 
Huyo ndiye Nyerere? Miaka ya 70s Tanzania ilikuwa mbele ya Kenya tena kwa mbali sana. Nyie mlikuja kujikongoja miaka ya 80s baada ya Tanzania kuingia kwenye vita na Uganda. So tumerudi kwenye nafasi yetu. Itabidi mvumilie tu.
Kulijiliwaza ruhsa
 
Back
Top Bottom