Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tuonyeshe ya Tanzania 😂
Tunaanzia hapa. Do you agree?

1725885191915.png
 
Ulivyo mpumbavu bado unatafuta pa kujifichia!??
Kama mungekua na pesa basi na mungenunua TB drugs na kujaza stock zenu.
Wizara yenu imesema katika hiyo habari tangia October 2023 mliishiwa dawa za TB hadi kuingia January 2024 mkaomba msaada Tanzania.
Kama mngekua mnajiweza kwa mwezi ule ule October mnge import kama mlivyokua mna import tokea nyuma.
Ni sawa wote tuwe tunanunua sukari,halafu yako iishe ukae miezi minne bila sukari kesha uje uombe kwangu nikuchotee.
Kama tunalingana kiuchumi si ungenunua miezi minne ilopita?
Bongolala, so Kwa akili yako finyu you think Kenya had no money to buy the drugs? Where did we get the money to buy those drugs before the shortage? And where did we get the money to buy the drugs after the situation was contained? Mnapenda sana kujilkwaza na kujipa matumaini pasipo na matumaini
 
Kwanza umejisafisha baada ya kunya?
 
Halafu sasa walikaa miezi minne tangia October 2023 hadi January 2024 ndio wakaomba usaidizi Tanzania.
Sasa jiulize miezi hiyo minne walikua wapi!?
Kama walikua na uwezo na wao si wange import!?
Halafu nchi inayoishiwa dawa za TB ndio inadai Magufuli alifia kwao Nairobi akitibiwa.
Bongolala, wacha kujitekenya na kujichekea. You focus on the four months forgetting that Kenya has been importing these drugs since time immemorial. Swali ni je, hizo miezi na miaka za nyuma tulitoa wapi pesa za kununua hizo drugs ndio tushindwe kuzinunua Kwa kipindi Cha miezi minne tu. Na baada ya huo upungufu kuisha, pesa tunazonunulia dawa za TB ni hiyo madafu yenu? Mibongolala ni mibongolala tu!
 
Jibu swali langu kwanza ndio tuendelee kujadiliana. Umejisafisha baada ya kunya?
 
😂😂😂😂We jamaa ni fala!?
Si uliniambia ni confirm my claims!??
😂😂😂
Embu soma hapo chini ulimaanisha nini kuniuliza hivyo!??View attachment 3090834
You confirmed something that is so obvious. Shortage ya dawa za TB kipindi hicho ilisababishwa na logistics issues arising from the side of the suppliers. If you read your article well, it's well stated so. Nitajje ni wapi hiyo article inaesema kwamba huo upungufu ilisababishwa na Kenya kukosa hela za kununua hizo madawa as you claim here. Nyinyi ni madesperado tu
 
Back
Top Bottom