Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is this any different from what I said? Didn't I say that Kenya had shortages of the drugs ndio ikatafuta usaidizi Tanzania? Ama ni ubishi ndio mnapenda as usual?

Secondly, does Tanzania manufacture TB drugs? Ama nyinyi pia ni importers if the same kama Kenya? If the latter is the truth, then why do you think this places you ahead of Kenya?

You are so quick to share such useless information but when asked to share import data on the same you can't! What a bunch of losers!!!
Unajitetea sana. Are you a Female?
 
Is this any different from what I said? Didn't I say that Kenya had shortages of the drugs ndio ikatafuta usaidizi Tanzania? Ama ni ubishi ndio mnapenda as usual?

Secondly, does Tanzania manufacture TB drugs? Ama nyinyi pia ni importers of the same kama Kenya? If the latter is the truth, then why do you think this places you ahead of Kenya?

You are so quick to share such useless information but when asked to share important data on the same you can't! What a bunch of losers!!!
😂😂😂😂We jamaa ni fala!?
Si uliniambia ni confirm my claims!??
😂😂😂
Embu soma hapo chini ulimaanisha nini kuniuliza hivyo!??
Screenshot_2024-09-09-00-06-15-28_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Unajitetea sana. Are you a Female?
Huyu jamaa ni fala sana😂😂😂😂😂.
Kuna comment kule juu kasema ni wazi kuwa wao Kenya wako ahead of us in every aspect.
Nikamuuliza,kama wako ahead of us kwanini walikuja kuomba msaada wa dawa za TB?Je mwenye kukuzidi anakuomba msaada aliyekuzidi?
Akani quote akidai "Can you confirm your claims"!??
Maana yake "unaweza kuthibitisha madai yako(kama Kenya imeomba msaada wa dawa za TB Tanzania)"?
Namletea ushahidi anang'aka 😂😂😂😂😂😂😂.
Kaka embu soma hapo chini.
Screenshot_2024-09-09-00-06-15-28_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Why are you still denying the obvious?😎
Btw what is sort help?
Halafu sasa walikaa miezi minne tangia October 2023 hadi January 2024 ndio wakaomba usaidizi Tanzania.
Sasa jiulize miezi hiyo minne walikua wapi!?
Kama walikua na uwezo na wao si wange import!?
Halafu nchi inayoishiwa dawa za TB ndio inadai Magufuli alifia kwao Nairobi akitibiwa.
 
Halafu sasa walikaa miezi minne tangia October 2023 hadi January 2024 ndio wakaomba usaidizi Tanzania.
Sasa jiulize miezi hiyo minne walikua wapi!?
Kama walikua na uwezo na wao si wange import!?
Halafu nchi inayoishiwa dawa za TB ndio inadai Magufuli alifia kwao Nairobi akitibiwa.
Hawa nyang'au wameshaaminishwa kuwa watanzania ni wajinga tangu utotoni, ha ha ha😎😎
 
Huyo ndiye Nyerere? Miaka ya 70s Tanzania ilikuwa mbele ya Kenya tena kwa mbali sana. Nyie mlikuja kujikongoja miaka ya 80s baada ya Tanzania kuingia kwenye vita na Uganda. So tumerudi kwenye nafasi yetu. Itabidi mvumilie tu.
Si ndiyo hapo sasa, yani mtu uwe mbele yake alafu bado umsifie yeye na anashangilia, kweli haya manyang'au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeumia sana bongolala sivyo? Hasira zako peleka Kwa kaburi ya Nyerere aliyesema hayo maneno. Sio maneno yangu. Alafu, umesafisha makucha zako ama bado ziko vile vile? Personal hygiene is important, you know
Personal hygiene is important alafu unatembea na mbolea matakoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
So you are the pot calling the kettle black. Now back to basics...what's the poverty index of Tanzania?
We punga poverty index ya nn wakati mambo yanajieleza wazi?

Kenya kuna raia wanakufa kwa njaa mpaka leo, Tanzania hakuna.

Kenya watu wanaishi kwenye mabati, Tanzania hakuna.

Kenya ina low life expectancy compared to Tanzania.

Serikali ya Tanzania inatoa pesa mfukoni kuendesha miradi kadha wa kadha, serikali ya Kenya inasubiri misaada toka kwa wafadhili.

Tanzania kuna miradi mingi yenye gharama kuliko miradi yote inayoendelea katika nchi zote EA combined, Kenya kuna miradi gn ya maana as we speak.

Tanzania iko mbele ya Kenya kiteknolojia kwa sasa kila mtu anajua hata wewe.

Kenya kuna ma slums everywhere, Tanzania hakuna zaidi ya informal housing baadhi ya sehemu ambapo pia tumeanza kuzibomoa.

Hayo ni machache tu yanayoonesha Kenya ni poor country than Tanzania.
 
Back
Top Bottom