Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ndiyo wanaingia five star hotel, hiyo itakuwa ni faivu sitaa oteli ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ View attachment 3089497
Viatu vimechovya vumbi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ watakua wametembea umbali mrefu sana kwenye vumbi.
 
Mm ni mkristo siwezi kutumia karatasi na hatujazoea hivyo huku Tanzania haijalishi ni dini wala tunatawadha kwa MAJI sio karatasi nikikuta chooni kwako kuna karatasi siwezi kujisaidia chooni kuna maji na sabuni huko kwenu vipi
 
Kuna mwingine alikuja Migori kutafuta picha mbovu. Dar slum ingekua mwanamke si mgusi hata na kondom
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Du hawa jamaa mimi binafsi nimesanda hamtawazi kweli wakenya sio poa
 
Viatu vimechovya vumbi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ watakua wametembea umbali mrefu sana kwenye vumbi.
Hahahah kuna mjinga mmoja alikuwa anasifia eti Nairobi watu wanatembea fasta fasta bize kujifananisha na western world, hawaelewi wenzao wanalipwa kwa mfumo wa masaa, nyangโ€™au ufasta wote wanaishia uhuru park, mwisho wa siku wanarudi majumbani mwao eti baba katoka kazini. Mafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ