Hahaha yaan china imported goods worth 648mil kutoka Tanzania wakati ikimport goods worth 246mil usd kutoka Kenya difference ya 402mil USD yaan hii umeileta mwenyewe
LDC eeh kama nyie mlivyo happy kwa report while tupo Unhappy wakati tunaongoza kuwa na Entertainment Hub huu ukanda?Hizo strategic moves za kazi Gani wakati mmebakia LDC tangu Uhuru.π€£
Entertainment gani iko bongo?LDC eeh kama nyie mlivyo happy kwa report while tupo Unhappy wakati tunaongoza kuwa na Entertainment Hub huu ukanda?
Sasa bwana yule aliwahi mapema China kufanya nini na mpaka sasa ameshaweka nini kibindoni? π€£π€£π€£π€£Niliwaambia tukiingia hapo tunatoka na TAZARA sio BLAH BLAH za kiwaki na picha za kuzugia.
Ukigusia TAZARA unagusia First China Africa relation ambayo mfunguzi ni Tanzania
The irony wana GDP kubwaHawa jamaa hadi barabara wanakopa aisee!??
ππππππJinga kabbissa hawa.
Sijaelewa hapo kwenye redHahaha yaan china imported goods worth 648mil kutoka Tanzania wakati ikimport goods worth 246mil usd kutoka Kenya difference ya 402mil USD yaan hii umeileta mwenyewe
Duh! Kunywa maji naona unawehuka alafu weka memory card huenda ukakumbuka.Ndio maana nimesema akili zenu baado. Sijasema Mchina ni mbaya, nimesema viongozi wetu (Africa) ndio wabaya.
Miradi ipi wakati mpo LDC? Kenyatta alisema ukweli aliposema nyinyi ni maiti, hata mpigwe viboko hamuwezi amka mkapigania rights zenu. Kila siku mnaimbia siisiiemu nyimbo za sifa.ππ
Konza is Techno City. Ukitaka manufacturing city you should ask for Tatu City which more industries than all regions in Tz outside Dar.Leta kiwanda au investment yoyote iliyoanza kwenye mradi wenu wa konza
View: https://youtu.be/G81Xg46EzwE?si=1hbZfh1bZS_HFp8d
But si ameongea ukweliππ.Duh! Kunywa maji naona unawehuka alafu weka memory card huenda ukakumbuka.
Labda GDP kubwa ya mavi π€£π€£π€£The irony wana GDP kubwa
Ni ajabu liinchi juzi lilikua linafurahi kupewa NON NATO ALLY status leo linategemea China alifanyie kitu wakati NATO wapo kuleta Chokochoko kule South China Sea?Kundustan ni snitch wa USA ko wanaishi nae Kwa machale ππ
Toka liniUnaongelea less than 2,000 while Isuzu alone has assembled more than 100,000 trucksπππ€£ππ
View attachment 3086844
Faw, Howo, Mercedes, Volvo, Scania, Isuzu, Hino, Fuso, Hyundai, Leyland, Dongfeng, Tata, Foton, Renault, Eicher, Shacman, JAC, Beiben, Man, UD.
Hizi zote zinakua assembled in Kenya, ebu tuambie ni ngapi gani kwa hio list zinakua assembled in bongos
Sijaelewa hapo kwenye red
Wewe tuko pamoja kaka nasubiri mtu aje aseme kauza kiasi gani
Kama hujui Entertainment iliyopo bongo basi wewe ni mkazi wa Turkana unajua Entertainment za South Sudan.Entertainment gani iko bongo?
Just tell me the entertainment in Bongo ni gani. Ama unaongelea zile simping songs?Kama hujui Entertainment iliyopo bongo basi wewe ni mkazi wa Turkana unajua Entertainment za South Sudan.
Urafiki textile friendshipTofauti na TAZARA ni investment gani ya maana mchina kafanya Tanzania? Imagine after kununua mabasi Yao kwa wengi they are still coming to assemble those buses in Kenya.
Malizana kwanza na issue ya Gen Z. Halafu tueleze the importance of Ruto to visit China Sept 2024Just tell me the entertainment in Bongo ni gani. Ama unaongelea zile simping songs?πππ€£
Ebu tuambie bongoslum muna assemble models ngapi za trucks tucheke. π€£ π€£ π€£π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Kituko cha mwaka 2024
Hata hizifiki sixπππ€£πUrafiki textile friendship
Confucius centre UDSM, Mwalimu nyerere leadership school, SINOTASHIP, 1800km Tazara railway, East African commercial and logistic centre, Naval force upgrade miradi ni mingi sana.