NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,633
Key words:Tatizo huna exposure mdogo wangu. Hii ni British Army Parade. Check viatu vyao. Na hawa ndio wanawapa misaada.
View attachment 3084755
Wanawapa Msaada 😂
Key words:Tatizo huna exposure mdogo wangu. Hii ni British Army Parade. Check viatu vyao. Na hawa ndio wanawapa misaada.
View attachment 3084755
una uhakika kuwa hakuna mizigo kwenda hinterland?Quote me directly, kwani unaniogopa kilaza? hehehe, face me 'mundu khu mundu' nikuaibishe sasa hivi.., mizigo sufficient quantity ya kuelekea hinterlands mtatoa wapi? puani?..., data ziko wazi, mizigo yenu inaishia Dar kwa wingi, na ile ya kuelekea vijijini na nchi jirani na pia ya kutoka vijijini kuelekea port haitoshi to make the project viable, hizi hasira pelekea serikali yenu potovu yenye haina mwelekeo ina react tu hovyo hovyo.., nyambaff
Ni tofauti mkuu na viatu alivyovaa yule askari wa Kenya, ile ilikuwa ni kama anafanya maigizo.They are called tactical sneakers… as seen here by US Navy Seals commandos
View attachment 3084638View attachment 3084639
una uhakika kuwa hakuna mizigo kwenda hinterland?Quote me directly, kwani unaniogopa kilaza? hehehe, face me 'mundu khu mundu' nikuaibishe sasa hivi.., mizigo sufficient quantity ya kuelekea hinterlands mtatoa wapi? puani?..., data ziko wazi, mizigo yenu inaishia Dar kwa wingi, na ile ya kuelekea vijijini na nchi jirani na pia ya kutoka vijijini kuelekea port haitoshi to make the project viable, hizi hasira pelekea serikali yenu potovu yenye haina mwelekeo ina react tu hovyo hovyo.., nyambaff
leta data za mizigo kutoka hinterland kwenda Mombasa port.Quote me directly, kwani unaniogopa kilaza? hehehe, face me 'mundu khu mundu' nikuaibishe sasa hivi.., mizigo sufficient quantity ya kuelekea hinterlands mtatoa wapi? puani?..., data ziko wazi, mizigo yenu inaishia Dar kwa wingi, na ile ya kuelekea vijijini na nchi jirani na pia ya kutoka vijijini kuelekea port haitoshi to make the project viable, hizi hasira pelekea serikali yenu potovu yenye haina mwelekeo ina react tu hovyo hovyo.., nyambaff
International. Wavumbistan bana. 😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅International. Wavumbistan bana. 😂😂😂
Kundudwellers bado mpo nyuma sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣International. Wavumbistan bana. 😂😂😂
sio lazima kubeba doublestack container kwa sababu freight trains zetu zitakuwa na speed ya 120km/hr hivyo bado tutakuwa na uwezo wa kusafirisha mizigo kwa hjaraka sana tofauti na sgr kenya.View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!
Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
Huyu kamanda wa kike mmja tuu Anatosha kusambaratisha Hilo ge GE la walevi wa chang'aa 😆😆👇👇
View: https://x.com/zoomafrika1/status/1830487776753586448?t=G1qyfjsGccH5UI-qsogpJg&s=19
jengweHii hapa taarifa rasmi ya nchi zinazojielewa. Kwa wenzetu mtu katoweka tu Ikulu na wananchi wake wanameona kwenye magazeti kuwa jamaa yao kapaa.
View attachment 3084835
Nataman TAZARA ijengwe Kwa kiwango cha SGRHii hapa taarifa rasmi ya nchi zinazojielewa. Kwa wenzetu mtu katoweka tu Ikulu na wananchi wake wanameona kwenye magazeti kuwa jamaa yao kapaa.
View attachment 3084835
naona bati za gauge 32Makasembo affordable housing in Kisumu comprising 14 towers of 11 floors each.
View attachment 3084058
Sasa tuanze kujadiliana issue ya comments za kwenye social media? Mtu mwenyewe mwenye comment huyu hapa anajiita Forester 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ona hapo kwa red line.
View attachment 3084865
Urefu wa treni zetu ni 2000m au 2km while yenu ni 800m 😁View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!
Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
Upo mkuu tuki parade westerners watapiga kelele na hata hawa nyangau watakwenda kulalamika kwa mabwana zao🤣🤣🤣Acha utani ICBM?
Sasa mkuu unahalalisha maoni ya mtu mmoja kisa yeye binafsi hajapenda? Mkuu hujui kwenye biashara yoyote duniani kuna mambo kama hayo? Huwezi kujua, kama na yeye ana biashara hiyo hiyo je? Cha msingi ni kwamba hivyo viatu ni domestically produced basi tuelewe hivyo, na inapaswa kupongeza. Hii thread kipindi kile ilikuwa jambo jema linapongezwa lkn siku hizi imekuwa vita hata kwa vitu vinavyoonekana dhahiri ni vya kupongezwa.Ona hapo kwa red line.
View attachment 3084865
Zile mlipewa Haiti 🤣🤣🤣