Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Meli iliyokuja kutoka China kwaajili ya matibabu na zingine zilikuja kwaajili ya mazoezi. Nadhani zilileta zana ambazo hazijawekwa kwenye display.

Hebu check hii hapa kwa karibu. It seem something from china

View attachment 3084403
Bi mkubwa siku aliyokwenda kuzindua mabus ya jeshi alizindua na ndege mpya,ila ndege azikuonyeshwa
 
Kwani unafikiri Wakenya waliosafiri wanashida? Shida ni wale ambao upeo umeishia Kibera.
Screenshot_20240831_123907_YouTube.jpg

Hapa wanaambiana ukweli
 
Usiitaje Tanzania na vitu vya kipuuzi.
Hivi unamjua rais wa IPU duniani ni nani!??
Tulia Ackson spika wa bunge la Tanzania.
Yule mwanamama anaongoza jumuiya ya mabunge yote kimataifa.
Halafu unasema Tanzania haijulikani!?
Hata huko China anapoenda Ruto, Samia ndio atakayeongea on behalf ya eastern Africa countries na hii wachina wenyewe ndio wamechagua sio sisi 😁
 
Kabla sijaanza kuchambua vitu kadha wa kadha nieleze kuhusu hiki:

Hivi ni viatu vya jeshini au vya kutembelea? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

View attachment 3084504
Ignorance breeds more ignorance… that’s special forces footwear started by Americans and now a standard for NATO among other allíes.. do research before making yourself look stupid..😄😄
 
Then why are you displaying other armaments like rocket launchers and tanks?.. Kama hamna sema hamna … if you had them am sure they would have been in the air too….. I give you 3 types of armored choppers by KDF.. AH-1 Cobra, MD-530 F and Fennec attack … za Bongo Ziko wapi?.. 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3084641View attachment 3084642View attachment 3084643
kwahiyo unataka kusema zina ammunition? kwa taarifa yako hata wale wa parade bunduki zao zinakuwa empty!
 
Back
Top Bottom