Huyo huwa ana mzaha sana usimchukulie serious 😁
Huyo huwa ana mzaha sana usimchukulie serious 😁
Kundudwellers bado mpo nyuma sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Check Mambo hapa
View attachment 3084857
View attachment 3084858
Mkuu kama kweli haupo bias hauwezi kuweka mbele SGR ya Kenya dhidi ya Tanzania, naheshimu mlichofanya, ni kweli mlijaribu lkn kiukweli kabisa SGR Kenya imeachwa mbali na SGR Tz, sidhani kama nahitajika kutaja vigezo kwasababu vimeshawekwa na kila mtu anajua. Tuendelee kupongezana kama East Africa tumejitahidi tuachane na comparison zisizo na uhalisia mkuu.View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!
Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
Made in PRC 🤣🤣🤣Kelele zako za mkundu hazipasui choo. Mjifunze kucome up with better brand names, WTF is KLICL take notes.
Enda running shoes
![]()
![]()
Kitu Kali
![]()
Ikwetta
![]()
![]()
Umoja
![]()
![]()
Made in Kenya 🤣 🤣 🤣 Wivu itawaua.Made in PRC 🤣🤣🤣
Huyo ni mpumbavu kwani hakuna mbadala wa double stack? Si unaongeza urefu tu? Hao mbuzi washapigwa knock out na SGR yetu wanabaki kutafuta vitu vya kipuuzi mara hakuna ngazi,mara hakuna charging port, mara station haina canopy yaani ni upuuzi tu hawana lolote la maana.sio lazima kubeba doublestack container kwa sababu freight trains zetu zitakuwa na speed ya 120km/hr hivyo bado tutakuwa na uwezo wa kusafirisha mizigo kwa hjaraka sana tofauti na sgr kenya.
kwa mfano tutahitaji masaa 18 tu kufikisha mzigo nairobi wakati kenyan sgr inahitaji masaa 36 kufikisha mzigo malaba.
Tukija kwenye axle capacity tanzania sgr ni 35tonnes kenyan sgr ni 25tonne, hivyo inauwezo kubeba mzigo wenye uzito mkubwa.
hatuhitaji doublestack sababu freight zitakuwa zinatembea speed kubwa ili kuwahisha mzigo tofauti na zenu ambazo zinatembea spidi ya 80km/hr
Mkuu ICBM ni Inter continental ballistic missile.Upo mkuu tuki parade westerners watapiga kelele na hata hawa nyangau watakwenda kulalamika kwa mabwana zao🤣🤣🤣
BATA bado ipo? Nilivaa sana wakati niko Primary School over 30yrs agoKelele zako za mkundu hazipasui choo. Mjifunze kucome up with better brand names, WTF is KLICL take notes.
Enda running shoes
![]()
![]()
Kitu Kali
![]()
Ikwetta
![]()
![]()
Umoja
![]()
![]()
Sijaona viatu hapa,hususan hiki cha nwisho ni USHUZI MTUPU?Kelele zako za mkundu hazipasui choo. Mjifunze kucome up with better brand names, WTF is KLICL take notes.
Enda running shoes
![]()
![]()
Kitu Kali
![]()
Ikwetta
![]()
![]()
Umoja
![]()
![]()
Bado iko.BATA bado ipo? Nilivaa sana wakati niko Primary School over 30yrs ago
Hizi factory za viatu au retail outlets.? 😂😂😂Made in Kenya for Kenyans
![]()
![]()
![]()
Nani kakudanganya hakuna mzigo wa kutoka hionterland kwenda Dar port, mteja wa kwanza wa uhakika huyo hapo Burundi na madini yake ya nickel kwa uhakika tu sio pungufu ya 3million tonne kwa mwaka bado kuna kabanga nickel, cobalt iliyopo msongati burundiMkuu kama kweli haupo bias hauwezi kuweka mbele SGR ya Kenya dhidi ya Tanzania, naheshimu mlichofanya, ni kweli mlijaribu lkn kiukweli kabisa SGR Kenya imeachwa mbali na SGR Tz, sidhani kama nahitajika kutaja vigezo kwasababu vimeshawekwa na kila mtu anajua. Tuendelee kupongezana kama East Africa tumejitahidi tuachane na comparison zisizo na uhalisia mkuu.
Made and sold. Sisi hua tumejipanga.Hizi factory za viatu au retail outlets.? 😂😂😂
Nyie ni underdog bado mbele ya Tz. Hii hapa is the most famous clothing brand in Africa. African boy Brand. 👇🏾Made and sold. Sisi hua tumejipanga.
Famous kwa ndoto zako, brands zenu hata maduka pekee ni shida. 🤣 🤣Nyie ni underdog bado mbele ya Tz. Hii hapa is the most famous clothing brand in Africa. African boy Brand. 👇🏾View attachment 3084910View attachment 3084911View attachment 3084912View attachment 3084913View attachment 3084914halafu wewe upo hapa kutupigia kelele. 😂😂😂 too late Bro.. Tz inakimbia kwa kasi ya rocket.