Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Check hao Kundudwellers wasianze kusoma alana za kiganja chako
 
TRC imetowa pesa ngapi kujenga SGR?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

As long as deni la SGR haijalipwa that SGR is not yoursπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Kwa upumbavu wako unadhani Tanzania kama Kenya kisa kitu kimejengwa kwa mkopo basi mdai anaendesha shirika!??
Sgr ya Tanzania ni mali ya TRC Tanzania Railways Corporation.
Wadai watalipwa na shirika hadi sasa linaendeshwa na TRC sio kama ninyi.
 
Ila wachina wanadharau hadi bango la mradi limeandikwa kwa kichina kwanini huu uhanithi hawafanyi Tz?
Mara nyingi ukiona maandiko ya Kichinia, jua ni wao ndio wanafadhili mradi.

Mradi ni mali yao na ni haki yao ya kimsingi kabisa kufanya hivyo hasa kwa taifa tata na lenye diplomasia ya kimalaya kama Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…