Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My friend. Kama unataka kuja na point unatakiwa ujiandae. Wewe umesema uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na wakenya. Nimekuambia uweke proof hapa. Umekimbia. Sasa nikakueleza hao wakenya ni merchants hapa Tanzania, hawana madhara yoyote na uchumi wetu. Nimekupa mambo hayo manne:-
1. Mining
2. Tourism
3. Agriculture
4. Transportation

Nieleze ni makampuni yapi ya kenya yapo kwenye hizo categores.
Naweza kukupa mfano mdogo tu kwenye Agriculture (MeTL) Company la kitanzania ndio lipo kwenye sector hii ya kilimo kwa upana zaidi. Hata kwenye uchuuzi Company ya bakhresa imejikita. Kwenye Agricultural and Livestock processing ni companies za kitanzania zipo eg:-
ASAS
IMG_1832b.jpg

ASAS Group Tanzania

Tanga Fresh

Bidhaa+za+Kiwanda+cha+Tanga+Fresh+katika+maonyesho+hayo..jpg

Home
 
Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?
Oh boy okay... Daima Kenya has went beyond just dairy products and produces Ice Cream products for Creambell, and is rivaling out with the American Coldstone
cb-choco-cof500.jpg

mousetrap.png

Let alone its products
butter_.png

ghee_.png

yoghurt_.png

milk_.png

KCC
CzitKr7XEAA-_y7.jpg:small

How about Brookside
641_brookside4.jpg

Ilara
641_brookside3.jpg
 
I've never bought this thing because i didn't know what it is... Sometimes i just see the matatu touts using them, but if it's an energy drink, I'm never quiting my monster energy drink which is only ksh 160.
How much is that energy drink?
 
kila mkenya wa jf ukimuuliza kuhusu product za tz ndani ya kenya, atakwambia hajawahi ona hata moja kwenye store za kenya...pia hata zile ambazo zinapatikana kwenye store zao,atakwambia hajawahi tumia hata moja kwasababu ya blablabla..hii kitu waingereza wanaita "living in total denial"..

this is the reason why I love majority of kenyans on twitter...they are very honesty and real...hawana muda wa ku- beat around the bush....reason why i always use their tweets as my reference during my confrontations with kenyans on jf.
 
Wakenya hawataki kuamini wanayoyaona. Lakini ninauhakika baada ya miaka mitatu watazoea kuona bidhaa za Tanzania sokoni.
Hawajui Products za nguo zinatoka MAZAVA morogoro Tanzania.
Mf:
Mazava-fabrics.jpg

mazava-fabrics-2-1024x575.jpg
Forget commercial clothing companies, we have a lot including international brands like Levi's
Talk of Kenyan made fashion lines which is more trendy.
Vazzi
11356353_1440978312887948_311677600_n.jpg

11374754_461134664060695_551493518_n.jpg

Kiss bandit
Which has been displayed at times square New York and girls from Paris, to Melbourne to Rio rock these, im sure you've seen a bunch of girls wear it. It's kenyan.
11325086_696257943837189_1015886710_n.jpg

12556094_544077312421856_2002352545_n.jpg

Yedu
Note:the owner is Tanzanian but making it in the +254
12093641_981073608602142_1589372474_n.jpg

12142474_491915210990642_191487581_n.jpg

Wan Fam
14276567_1757740517823287_1618090184_n.jpg

10246142_966752193377962_145964291_n.png

Kangaru
From kenya to Japan
13398436_519364911597814_1046919791_n.jpg

Tangevuli
Making it worldwide i.e Europe
s335226523691177936_p1_i1_w640.jpeg

I could go on and on
 
Suave
Making trendy popular nairobi swag and spreading rapidly like forest fire to Jo'burg, lagos and I'm sure Dar rich kids cant resist these either
15258557_338349613196507_8141425523944325120_n.jpg

The pink savannah

12783252_464299120422615_279209891_n.jpg
 
also Vivo and Zoezi sports
 
We need big products my friend, Kenyan companies make it Big, which battle major giants like American Coldstone... We need such:
Planet yoghurt...
Planet-Yoghurt.png

planet-yoghurt.jpg1_.jpg

Planet-Yogurt-front-600x400-640x480.gif

5354-728-1474877451.jpg

blog29.jpg

With branches all over the country.
Sarit centre
pyogurt.jpg

Nyali
1764-728-1397052861.jpg

1764-728-1397052861.jpg

Garden city
6S2A5128.jpg

Galleria
store_planetyogurt.jpg
 
Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?
Oh boy okay... Daima Kenya has went beyond just dairy products and produces Ice Cream products for Creambell, and is rivaling out with the American Coldstone
cb-choco-cof500.jpg

mousetrap.png

Let alone its products
butter_.png

ghee_.png

yoghurt_.png

milk_.png

KCC
CzitKr7XEAA-_y7.jpg:small

How about Brookside
641_brookside4.jpg

Ilara
641_brookside3.jpg
Hayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.
Hizo Ice Cream zimejaa TZ za AZAM tena kila kona ya TZ.
Ukiongelea nguo hakuna hata kipande cha kitambaa toka kenya kinaweza penya TZ.
 
why are you moaning?
 
lol.....how can Azam even compete minute maid or even Del Monte..............Kwanza minute maid pulpy orange is something out of this world......kina azam are mere spectators..
they can maybe dominate LDC countries like Uganda or Drc

si tunaongelea vitu local? mbona unataja vitu vya Cocacola (Minute maid) na hiyou Del Monte
Del Monte Foods, Inc is a North American food production and distribution company headquartered at 3003 Oak Road, Walnut Creek, California, USA.

Au ?
 
Hayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.
Hizo Ice Cream zimejaa TZ za AZAM tena kila kona ya TZ.
Ukiongelea nguo hakuna hata kipande cha kitambaa toka kenya kinaweza penya TZ.

stop derailing the flow... instead, counter attack by showing your products, international products, sio zile hazijawai vuka mkoa wa Tanga
 
Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?
Oh boy okay... Daima Kenya has went beyond just dairy products and produces Ice Cream products for Creambell, and is rivaling out with the American Coldstone
cb-choco-cof500.jpg

mousetrap.png

Let alone its products
butter_.png

ghee_.png

yoghurt_.png

milk_.png

KCC
CzitKr7XEAA-_y7.jpg:small

How about Brookside
641_brookside4.jpg

Ilara
641_brookside3.jpg
Dairy products asas and tanga fresh ndio habari ya uku Tz hakuna izo zenu uku kila mtu asifie vya kwao...kama mm siwez sema lolote juu ya product ambayo sijaitumia!!
 
Nendeni mkatafakari, when you come up with stuff like THE NAIROBI JAVA HOUSE which has over 30 branches in Kenya, then come back and talk.
11222547_996409370417054_3180171381457957270_o.jpg

discovering-kenyan-coffee-blends-at-nairobi-java-house-620x350.png

Java-House.jpg

24302048_1647905315267453_177146143224862879_o.jpg
 
stop derailing the flow... instead, counter attack by showing your products, international products, sio zile hazijawai vuka mkoa wa Tanga
Nakuona wewe ndiye unayeweka vitu tu bila kufuata tunachoongelea. Wewe hapa umesema uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya. Nikakuambia uthibitishe. Na nikajua kabisa utakuja na blah blah za maziwa nikakuwekea kigingi cha ASAS na Tanga Fresh. Sasa nimekuona umeruka kwa jazba.

Sasa nieleze company gani ya kenya ina operate TZ kwa faida?
 
Back
Top Bottom