Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Tushatoka huko Mzee, nowadays ni WiFi na smart Tv. Hayo ni mambo yalikua 2014 hukoAzam Tv sio mpaka uweke dish mazeh.
Kuna kitu cha CAM CARD.
Unachomeka Cam card maisha yanaendelea.
Tushatoka huko Mzee, nowadays ni WiFi na smart Tv. Hayo ni mambo yalikua 2014 hukoAzam Tv sio mpaka uweke dish mazeh.
Kuna kitu cha CAM CARD.
Unachomeka Cam card maisha yanaendelea.
Hata wifi kwani ilianza leo!?Tushatoka huko Mzee, nowadays ni WiFi na smart Tv. Hayo ni mambo yalikua 2014 huko
Naona umeanza kudata.Wacha nirudie swali. Kwa hivo BBC ni ya Tanzania?🤣🤣🤣
Hatukuli kiingereza, sasa si muanzishe coding language za Kiswahili.
🤣🤣🤣
![]()
Wacha nirudie swali. Kwa hivo BBC ni ya Tanzania?🤣🤣🤣
Mzee ondoa ushamba. Hebu weka kitu kama hiki kutoka kenya kama utapata. Azam MaxTushatoka huko Mzee, nowadays ni WiFi na smart Tv. Hayo ni mambo yalikua 2014 huko