President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,033
- 93,389
Hii plate no ya mwaka jana tu. Kenya watu maskini sana ๐ ๐ ๐ ๐ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tuliambiwa wananunua magari mapya
Hii plate no ya mwaka jana tu. Kenya watu maskini sana ๐ ๐ ๐ ๐ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tuliambiwa wananunua magari mapya
Nitawaletea picha za probox zinavowabeba wakenya kama wanyama hua wanabananishwa kwenye probox kama kondoo vile ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHii plate no ya mwaka jana tu. Kenya watu maskini sana ๐ ๐ ๐ ๐ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tuliambiwa wananunua magari mapya
View attachment 3073321
Hakika Tanzania is the Europe of TanzaniaNitawaletea picha za probox zinavowabeba wakenya kama wanyama hua wanabananishwa kwenye probox kama kondoo vile ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bora kuliko kuomba watu pesa barabarani kama hawa watanzania ๐๐๐คฃ๐๐
View: https://x.com/VinnieWailer101/status/1173107421323190272
Hao ni wakenya wenzao wagekua washawarudish zaman na anapost taarif ya 2019๐๐๐๐Kama ni watanzania warudisheni!
Hakika Tanzania is the Europe of Tanzania
Kuna jamaa anaitwa Pluto anakutanisha wapenzi na kuwagonganisha. Wakenya wanashangaa namna ya watanzania wanavyo handle mambo yao bila ugonvi.
Check hapa na comments za Watu
View: https://youtu.be/znejOOqBPdM?si=tYywRKDX6bQNzXf0
Umeharibu mda kuleta picha za kawaida wakati sisi hatutafuti sana. Unashuka Sgr unapanda bajaj LDC type shit ๐ ๐๐
We don't care.Dah hyu Pluto amewaingiza cha kike, hizi stories za kuwaunganisha ni scripted. Nishapiga nae kazi alipofika mitaa yangu flani tukapiga show Kali Sana. Hakuna wapenzi hapo hao ni model wanalipwa ๐๐๐
Viti vyenu vinaonesha vinaumiza kabisa.Kenyan SGR economy coach.
View attachment 3073247
View attachment 3073248
View attachment 3073249
View attachment 3073250
Unapoteza muda tu.Umeharibu mda kuleta picha za kawaida wakati sisi hatutafuti sana. Unashuka Sgr unapanda bajaj LDC type shit ๐ ๐๐View attachment 3073347
Embu tizama siti zetu za MGR second seat.Kenyan SGR economy coach.
View attachment 3073247
View attachment 3073248
View attachment 3073249
View attachment 3073250
Hiyo ni ya Morogoro Mkundi.Umeharibu mda kuleta picha za kawaida wakati sisi hatutafuti sana. Unashuka Sgr unapanda bajaj LDC type shit ๐ ๐๐View attachment 3073347
2017 ni mwaka Jana? Mbona hii mambo ya hesabu inakuchanganya sana wewe?๐๐๐คฃHii plate no ya mwaka jana tu. Kenya watu maskini sana ๐ ๐ ๐ ๐ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Tuliambiwa wananunua magari mapya
View attachment 3073321
Yani Kenya haki si walimkosea nini Mungu baba wa mbinguni!!??Unapoteza muda tu.
They are more comfortable than your refurbished SGR coaches๐๐๐คฃViti vyenu vinaonesha vinaumiza kabisa.
Yani havina comfortability.
Wewe Baboon unasema nini?๐๐๐คฃ๐๐Ila bongo kila mwezi raia wanaingiza chuma mpya. Watu wako sawa sana.
Tanzania is full of omba omba. No wonder most country doesnโt want Tanzanian immigrants ๐๐๐คฃ๐Wa kwenu hao,TZ tunapiga kazi ndio maana uoni tukiomba misaada ya chakula huko njeView attachment 3073304
Back to the village again. Siku utafika town tuambie๐๐๐คฃ๐
Wapi tarmac ??Hiyo ni ya Morogoro Mkundi.
Ulitaka wapande nini ili kufika barabara kuu!?
Wapande ndege au!?
Huo ndio usafiri utumikao sana hapo Morogoro,hata daladala ni chache usafiri mkuu bajaji.
Shida yenu mwataka mfanyacho ninyi na sisi tufanye,we do have our own taste kijana.