Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa Uganda inapaswa ku-stick to her words! Na si kubebwa ufala kama hivi!👇👇

Kwa kuzingatia umbali Wapewe Baadhi ya offer Ili kufikia gharama Ile Ile waliyokuwa wanatumia Kwa route ya Mombasa au even a little bit less kuwashawishi wasiwe vigeu geu.

Ila najua wakunya watajaribu tena kuwavuta kwao Kwa offer kedekede kitu ambayo ni faidia Kwa Uganda.
 
😂😂😂😂 huyu ni yupi.? Mbona T-shirt yake imeisha mbaya mbovu. .? 😂😂😂😂😂
Watchman nicxie huyo, hii ni picha nilikuwa nampiga nayo enzi zile, lkn nikaacha baada ya kuona ametulia, sasa nashangaa anajisahaulisha na kunivaa bila sababu, hapa namkumbusha kdg kwamba mm ndiye yule kichefuchefu wao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kuzingatia umbali Wapewe Baadhi ya offer Ili kufikia gharama Ile Ile waliyokuwa wanatumia Kwa route ya Mombasa au even a little bit less kuwashawishi wasiwe vigeu geu.

Ila najua wakunya watajaribu tena kuwavuta kwao Kwa offer kedekede kitu ambayo ni faidia Kwa Uganda.
ofcourse hilo limezingatiwa ndio maana wamekuja huku!

View: https://x.com/TanzaniaInsight/status/1762113660615348506

View: https://x.com/TheExchangeEA/status/1772216993749356578

na hii ipo tayari 👇 👇

View: https://youtu.be/h1E-qscYbfQ?si=BmJMroU6vxo5opxS
 
Watchman nicxie huyo, hii ni picha nilikuwa nampiga nayo enzi zile, lkn nikaacha baada ya kuona ametulia, sasa nashangaa anajisahaulisha na kunivaa bila sababu, hapa namkumbusha kdg kwamba mm ndiye yule kichefuchefu wao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Probably mchinzi anamiaka kati ya 28-30 lakini kwasababu ya ugumu wa maisha anaopitia he looks 50 years old😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom