Bro mbona kama hauna akili!?Si Kuna siku umekana humu kwamba uliacha kazi ya C.O sahii wewe ni mwanabiashara wa kuuza cocoa na ng'ombe? Uongo ni kazi ngumu.🤣🤣🤣
Hata nikisema nimeacha kazi,je itabadilisha kama mimi nimesomea clinical medicine!??
Leo hii nikiambiwa nilete vyeti vyangu cheti cha kwanza nitakacholeta ni cha CMT.
Acha kukaza fuvu.